Rais Samia mpandishe cheo Kanali Benard Paul Mlunga

HAwa ndio wazalendo wa kweli wa nji hii...lakini....Mungu ndiye anayejua........
 
acha kukariri! mpambe inategemea na madaraka yake
 
"I prefer not to speak, If I speak I will be in Trouble" is this reference from "1984 by George Owel"? just curious.
 
Kama anastahiki atapanda.
Vinginevyo asuburi kama watumishi wengine!
 
Si hadi mwislamu kama Mashauri. Mama kajaa udini hadi basi.
 
Kamfufue uzikwe wewe sasa
 
Na ndugu zako wote ambao wamekufa
Sasa wewe hata ukimuona dereva wa marehemu unasisimkwa tukusaidiaje? Nyerere kafa, mkapa, mwinyi wote wamekufa na walipendwa kila mtu kwa namna yake ulishawahi kuona hapa watu wana sisimkwa kama wewe?
 
Mkuu sikujibu tena, maana unataka kunipangia watu wa kuwapenda
Nani aliamulua TL apigwe risasi pale dodoma?
Nani alipeleka JWTZ wapeleke jeshi kule KIBITI na MKURANGA na kuuwa watu wote wale wasio na hatia? Yaani kuvaa kibaraghashia tu na kufuga ndevu ndo mtu awawe?
Usinijibu wala hupunguzi chochote lakini huyo unayempenda alikuwa Muovu na wapenda haki walifurahi alipotwaliwa
 
Mimi naona huyu mlunga achukua usukani kabisa.mama abduli ampishe ili Nchi inyooke.
 
Yani ampandishe kwa kuwa umependa wewe? Vyeo vya kijeshi vinapanda kwa elimu ya kijeshi, uzoefu, nafasi katika muundo na sifa binafsi. Na CDF ndio anatoa mapendekezo ya maafisa gani wapande na sababu
 
Kunywa sumu umfuate kaburini
 
In voice of Samia "ili nalo mkalitazame"
 
Kwa nini apandishwe na asishushwe?.
 
Sikujua kama ni askari wa myamvuli!
Hata hivyo, vyeo vya kijeshi hupandishwa kwa vigezo na sifa stahiki.
Kama katimiza atapandishwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…