Rais Samia mpige chini Humphrey Polepole, ni jipu!

Kuna sehemu unakwepa kodi kwa furaha ya mama sio?
Hakuna shida hiyo ni janja yako bali waache wanao kuruhusu ukwepe hiyo kodi yatakapowakuta.
1.5 Trillioni iko wapi?
 
Tunaye huyo!
Avatar yako inataka kufanana na jamaa fulani mnafiki ambaye alituhimiza tukabili korona kwa herd immunity laki baada ya taifa kukumbwa na janga akageuka na kuanza kutuma picha mtandao amevaa singilendi akionyesha kuchoma JJ!

Kwa hiyo sishangai saana kuleta uzi huu.
 
Wajinga ninyi, wakati CCM inabakwa na ninyi mlihusika.
Wananunuliwa wapinzani kwa rushwa mko kimya!
Mtuhumiwa wa hiko kituko ni huyo mshamba wa ma Vieite.

Sasa amekuwa mtetezi wenu wanafiki ninyi mliokuwa mnateka, mnapora, mnabambika kesi za uhujumu.
Leo kibao kimegeuka, kama mzee wa ma vieite alikupa lifti, basi mmedoda.
 
Rais atolee ufafanuzi kauli yake, kw sababu ni wiki ya pili sasa hyo kauli imeleta utata na hakuna aliyeisemea, ni upumbavu mkubwa kumlaumu Polepole, kwa kauli ambayo ni mda sasa imeleta utata
Ufafanuzi kuhusu nini,aliweka wazi suala hilo vizuri kabisa,ni uzuzu wenu ndio unawasumbua

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wapumbavu nyinyi mnaokaa mkiropoka wimbo wa ununuzi wa wapinzani kila uchao huku mkiwa hamna ushahidi.

Mnatuhumu watu mitandaoni bila ushahidi.

Serikali imempeleka Mbowe mahakamani sababu inao ushahidi wa kutosha.

Na nyinyi kama mnao ushahidi mbona hamuendi mahakamani?

Acha u-shwine wako mitandaoni.
 
Nyinyi ndo mnaosabisha umasikini tz
 
Imekula kwako, hela ya bure haipo tena.
Mama Mkombozi, mliishi kwa hela za wanaume wenzenu, kuleni jeuri zenu.
Aliyesifia ma Vieite sasa analijua bomba la daladala!
 
Rais atolee ufafanuzi kauli yake, kw sababu ni wiki ya pili sasa hyo kauli imeleta utata na hakuna aliyeisemea, ni upumbavu mkubwa kumlaumu Polepole, kwa kauli ambayo ni mda sasa imeleta utata
Polepole hakuteuliwa na SSH bali aliteuliwa na JPM ( I do stand to be corrected )

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Ulielewa vyema maana ya mtu kula urefu wa kamba yake?Maana yake ni 'kupiga' ndivyo inavyoeleweka mtaani.Sasa mtu wa ngazi ya Rais anatakiwa kuwa na hekima ya kuweza kupima kauli zake ili zisilete utata kwenye jamii.Hii inaonyesha kwamba Samia amepungua.

Mwisho,Polepole is among the very few intelligent CCM members.Sasa kwa kuwa CCM members wengi ni mazuzu,si rahisi Polepole kukubalika ndani ya CCM.
 
Mbona sote tulimsikia Samia akitamka maneno hayo na tafsiri yake ni kwamba kawaruhusu Mawaziri kuiba ila wasizidishe na wasiingiliane katika maeneo yao, tatizo kwa Polepole ni lipi hapo?
 
Rais atolee ufafanuzi kauli yake, kw sababu ni wiki ya pili sasa hyo kauli imeleta utata na hakuna aliyeisemea, ni upumbavu mkubwa kumlaumu Polepole, kwa kauli ambayo ni mda sasa imeleta utata
Mbaya zaidi hata hao viongozi wanaojiita wa Vyama vya Siasa wamekaa kimya bila kuikosoa kauli ya Samia
 
Kana intelligence ya ma Vieite anayohusudu huyo mtu wenu na ndicho mnachoki admire, basi hamjijui kuwa tatizo lenu ni kubwa kiasi gani.
If a moron is your role model, pole tu!
 
Tatizo la ccm na serikali yake hawataki kuambiwa ukweli hata mara moja!
Wanataka maneno ya kusifiwa hata kwenye uozo, haiwezekani na wanadamu wa leo sio wa juzi wa hewala bwana!
Turuhusu kusikia mawazo ya wengine kama njia ya kujisahihisa na kujijua!
 
Kana intelligence ya ma Vieite anayohusudu huyo mtu wenu na ndicho mnachoki admire, basi hamjijui kuwa tatizo lenu ni kubwa kiasi gani.
If a moron is your role model, pole tu!
Polepole sio role model wangu,lakini I appreciate his views and intelligence.

Tatizo ni kwamba wana CCM wengi ni wachumia tumbo,who climbed the ladder of leadership kiharamia using illicit means and money.Kwa hiyo anybody against their ways ni adui.Kiukweli kwa mtu intelligent and truthful,CCM is not the place to be.I wish Magufuli was around to clean the mess.Ni upigaji tu uliotawala.Mambo haramu haramu tu ndiyo wanayopendezwa nayo,aibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…