DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Nongwa tuu.
 
Wanataka waje kumcheka Mama yake akitoka madarakani Kua mtoto wa Raisi hakua na akili, Abdul endelea kupiga Hela nyingi zaidi ya hizo piga hela piga Hela hachana na wenye wivu

Mama akitoka madarakani na ukiwa hauna hela watakucheka
Umeona watoto rais wa kwanza
 
Huyo mtoto nae itakuwa zero upstairs yani mtoto wa Rais unauza matairi,haoni wenzake wakina ridhiwani wanamiloki vituo vya mafuta kila Mkoa
 
Hizo ni kelele za Chura hazimnyimi tembo kunywa maji mimi sina hata ndgu yangu Mtendaji wa Kitingoji serikali sembuse mtoto wa Rais acha afurahie maisha mama ake akiwa Mkuu wa Nchi
 
Huyo mtoto nae itakuwa zero upstairs yani mtoto wa Rais unauza matairi,haoni wenzake wakina ridhiwani wanamiloki vituo vya mafuta kila Mkoa

Angalau ameopt kidogo cha mwenye haki, kuna watoto hao hawasemwi popote lakini upekuzi wa kina ukifanyika huenda tutashika vichwa na kukaa chini. Acheni nongwa.
 
Kama dogo anachuuza magurudumu ya motokaa mwacheni tu mbona hatupigi sana jamani...!

Wallah nawaambia hasira za mama yake zikiwaka, yaani mkiendelea kumzingua dogo atapewa kandarasi nyeti ya kujivunia mijihela ya kufulu!
hamjui kwamba nchi ina rasilimali nyingi tu za kupiga hela??

Msijitoe ufahamu jamani bado tupo bara giza. This is Africa na hii ni Tanzania nchi ambayo Rais kapewa mamlaka makubwa sana na katiba ya jamhuri.
 

Pengine kijana anaona vile kodi inavyotumika vibayà na ndio maana hataki kulipa.
 

Umemaliza mkuu…
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…