Anna Deo
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 598
- 407
Kabisa 😂😂😂Wabongo mnaroho mbaya sana
Mama mpe mwanao cheo juu zaidi hapo tra ili waone wivu zaidi hao wajinga wa tra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa 😂😂😂Wabongo mnaroho mbaya sana
Mama mpe mwanao cheo juu zaidi hapo tra ili waone wivu zaidi hao wajinga wa tra
Naskia anavunja bei sio poa.Kuna kitu nilitaka niandike kuhusu huyo sababu mimi mwenyewe ni mfanya biashara hiyo hiyo ya matairi kama yeye ila nimekumbuka mwanasheria wangu sijamlipa miezi mitatu mshahara wake
Mama asijue yanayofanywa na mwanae?Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Kwani ndiyo mtoto wa kwanza raisHuyu dogo habari zake zinazidi kutaradari;
Pamoja hayo yote inasemekana kuwa huyu dogo anasafr na Maza safar zote hasa nje ya nchi na analipwa per diem, accommodation and other cost kama mwajiriwa wa serikali jambo ambalo sio sawa. Mama we are informing u kuwa hiyo sio sawa, tafuta namna sahihi ya mwanao kupata namna nyingine ya stahiki, hizi zitakuja back fire in few yrs to come...plz....
Mtoto gani au kiongozi gani nchi hii anayeishi kinyongeYale yale ya Riziwani yamejirudia tena.
Hakuna mfanyabiashara nchi hii anae lipa kodi 100% mengine n wivu tuYaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Kwa hiyo nasi tunaye Teodoro Nguema Obiang wetu kama, yule wa Equatorial Guinea?Kwani ndiyo mtoto wa kwanza rais
Kufanya mambo hayo
Kwa nchi za kiafrika hiyo kawaida tu
Hamjazoea tu
Ova
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
nasikitisha sana nchi kuwa na watu wenye mawazo ya aina hii!Mtoto wa Rais hahitaji kuuza matajiri..kkoo..
Anaweza ongea na Rais akapewa kibali peke yake kuingiza matari halafu hizo kampuni zote zikanunua kwake Kwa jumla ....wala asifike kkoo...
Hata kuuza hiko kibali Kwa mhindi mmoja au mchina akapiga hela bila kufika kkooo
Kwa hiyo wewe The Boss unaona sawa wafanyabiashara kucheza michezo na TRA.Yeye kama mtu mzima na mtoto wa Rais alitakiwa awe mfano mzuri.Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Sheria nchi hii zimetungwa kwa ajili ya kajamba nani hao ndiyo watabanwaanasikitisha sana nchi kuwa na watu wenye mawazo ya aina hii!
Ndiyo nimesema..., na watu wa aina hii ndio maadui wa nchi wakubwa.
Sheria zinatungwa ili zifanye kazi gani; na ni watu gani wanaotakiwa kuheshimu hizo sheria na wawepo wasiohusika nazo?
Hopeless Kabisa.
Africa ndiyo ilivyo nashangaa nyie mnaona jambo geniKwa hiyo nasi tunaye Teodoro Nguema Obiang wetu kama, yule wa Equatorial Guinea?
Na ulivyo mpuuzi, hiyo ndiyo sifa inayokuvutia wewe!
Ngoja tuone mwisho wake , Je havuti bangi kweli ?Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Acheni wivu wa ajabu mtoto wa Rais apaswi kusumbuliwa kwa namna yoyote .Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Kuna mambo ya kufanyia utani. Tatizo ni kutojuwa ni yapi yanayohusu utani wakati unapotoa maoni.Sheria nchi hii zimetungwa kwa ajili ya kajamba nani hao ndiyo watabanwaa
Ova
Acha chuki binafsi, zingatia kupata faida kiasi kwenye biashara yako, Huyu kijana hana tamaa ya kuuza bei ghali ya kupata faida za kufuru, hapendi makuu, yeye huridhika na kiduchu apatacho, chuki zako haziwezi kukufikisha popote mtoa mada.Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.