Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake wengine waliowahi kuongoza Nchi mf Madamu Banda wakaharibu isingelikuwa rahisi kukuamini, ingebidi Mungu afanye miujiza mingi kama ile ya mussa hata kukubalika kuwaongoza wana wa Israel.
Mtangulizi wako alifanikiwa pamoja na mengi aliyoyafanya aliamua jambo gumu sana ambalo lisingeweza kufanywa na mwingine yeyote ispokuwa yeye na kwa kanda ya ziwa kwa kujenga daraja la kigongo -Busisi tunamshukuru, Jakaya alichelewa kufanya maamuzi alitamani kuwainua wakazi wa Bagamoyo kwa kujenga bandari ya Bagamoyo,
Wewe usichelewe ile hotel kubwa kuliko zote Africa ianze sasa kujengwa Unguja, lakini ukiweza na uchumi ukiruhusu tandaza daraja Dar- Unguja. ukidhibiti mianya ya hayo matobo madogomadogo inawezekana.