Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

Tuliumia sana usiku ule wakati bi. Mkora anatutangazia kinafki msiba wa JPM, mpaka 2025 tutaongea lugha moja.
Mkuu jiombee sana nafsi yako umtoe huyo shetani anayekupa mawazo mabaya ya kukupotosha na kukuwewesesha.....Mungu akusaidie sana!

Mzee wetu BCM ametwaliwa na BWANA kwa kuumwa kama alivyotwaliwa na kuumwa kipenzi chetu JPM..
 
Tuliumia sana usiku ule wakati bi. Mkora anatutangazia kinafki msiba wa JPM, mpaka 2025 tutaongea lugha moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakika, yajayo ndio yanatakiwa Kuwafurahisha .


Mbuyu wa Msoga ukianguka, Nitachinja Ng'ombe kituo Fulani Cha watoto yatima, tule, tusherekee.


Hawa wahuni Hawa, walimuondoa JPM.
Hahahah!
Mbuyu ule MUNGU wa mbinguni kaupendelea
Yule MUNGU wa chattle mwehu asiye na akili alijimaliza mwenyewe!

Jambo zuri ni kwamba team msoga tumeshuhudia kifo cha kujitakia cha magufuli.

Membe kashuhudia mzoga wa magufuli,
Magu hajaushuhudia mzoga wa MEMBE
 
CHADEMA wacheni kuwadharau na kuwadhihaki kabila la Wasukuma.
Kama mna duku duku toeni bila ya mafumbo mafumbo....Hakuna Kundi au Genge lelote Tanzania linaloitwa "Sukuma Gang' hakuna. Kuna kabila la Wasukuma. Wacheni Ugaidi na Lugha za Kibaguzi dhidi ya Kabila la Wasukuma.
 
Kipenzi chetu kimeondoka kwa mipango ya Mungu Mwenyezi....uzushi ni dhambi....rest easy BCM[emoji120]View attachment 2620877
Kipenzi chako wewe na famillia yako. Usidhan huyu naye alikua mtu wa kutikisa Nchi ni mwananchi wa kawaida tuuuuu usitishe watu. Labda huko kwenu Nanjilinji ndio mmestuka huku town ni sisimizi tuuu
 
Kipenzi chako wewe na famillia yako. Usidhan huyu naye alikua mtu wa kutikisa Nchi ni mwananchi wa kawaida tuuuuu usitishe watu. Labda huko kwenu Nanjilinji ndio mmestuka huku town ni sisimizi tuuu
Mapema hii mbona "umepanick" sana mkuu?!!![emoji1787]

Unataka watanzania tusihuzunike kwa kufiwa na mtanzania mwenzetu?!!!

Ona jinsi ulivyojijaza "CO2" kifuani kufikia "kupwaga" maneno [emoji1787][emoji1787]

Kwetu si Nanjilinji bali "Magu-Kyela"....

Karibu Rondo tumzike F-FM wetu ama wewe ni Mkenya nini?!!
 
Nchi gani ipo nyuma ya huyo Dorcas?
Janeth naye aseme nini?
Hii vita haikuisha 17-03-2021, pale ndo ilianza. SG is real na haipo kinyonge kaeni mkao wa kula, kwa BM tumetest mitambo kuona kama ipo sawa, yajayo ndo yenyewe jiandaeni.
Shikamoo baba sasa ina maana ule Uzi majamaa watakuwa wakisali kila mtu kwa ibada wake is real.. mm Niko shimoni bana mtanipa taarifa.
 
Back
Top Bottom