Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Tuliumia sana usiku ule wakati bi. Mkora anatutangazia kinafki msiba wa JPM, mpaka 2025 tutaongea lugha moja.Kumekuchaaaaaaaaa!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliumia sana usiku ule wakati bi. Mkora anatutangazia kinafki msiba wa JPM, mpaka 2025 tutaongea lugha moja.Kumekuchaaaaaaaaa!!!!
Mkuu jiombee sana nafsi yako umtoe huyo shetani anayekupa mawazo mabaya ya kukupotosha na kukuwewesesha.....Mungu akusaidie sana!Tuliumia sana usiku ule wakati bi. Mkora anatutangazia kinafki msiba wa JPM, mpaka 2025 tutaongea lugha moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuliumia sana usiku ule wakati bi. Mkora anatutangazia kinafki msiba wa JPM, mpaka 2025 tutaongea lugha moja.
Hahahah!Hakika, yajayo ndio yanatakiwa Kuwafurahisha .
Mbuyu wa Msoga ukianguka, Nitachinja Ng'ombe kituo Fulani Cha watoto yatima, tule, tusherekee.
Hawa wahuni Hawa, walimuondoa JPM.
Kipenzi chako wewe na famillia yako. Usidhan huyu naye alikua mtu wa kutikisa Nchi ni mwananchi wa kawaida tuuuuu usitishe watu. Labda huko kwenu Nanjilinji ndio mmestuka huku town ni sisimizi tuuuKipenzi chetu kimeondoka kwa mipango ya Mungu Mwenyezi....uzushi ni dhambi....rest easy BCM[emoji120]View attachment 2620877
Mapema hii mbona "umepanick" sana mkuu?!!![emoji1787]Kipenzi chako wewe na famillia yako. Usidhan huyu naye alikua mtu wa kutikisa Nchi ni mwananchi wa kawaida tuuuuu usitishe watu. Labda huko kwenu Nanjilinji ndio mmestuka huku town ni sisimizi tuuu
Shikamoo baba sasa ina maana ule Uzi majamaa watakuwa wakisali kila mtu kwa ibada wake is real.. mm Niko shimoni bana mtanipa taarifa.Nchi gani ipo nyuma ya huyo Dorcas?
Janeth naye aseme nini?
Hii vita haikuisha 17-03-2021, pale ndo ilianza. SG is real na haipo kinyonge kaeni mkao wa kula, kwa BM tumetest mitambo kuona kama ipo sawa, yajayo ndo yenyewe jiandaeni.