Rais Samia na Lissu, mwanzo mzuri kwa Watanzania, ndicho tulichokifanya hapa Kenya

Comparing oranges with lemons. You can't compare Miguna's stature to that of Lissu, can you?.

Vipi kuhusu yule Chris Msando wa IEBC aliyeuwawa na kukatwa kiganja cha mkono ili kikatumike kuibia kura? Na vipi kuhusu yule, na yule, na....
 
Vipi kuhusu yule Chris Msando wa IEBC aliyeuwawa na kukatwa kiganja cha mkono ili kikatumike kuibia kura? Na vipi kuhusu yule, na yule, na....
Nikumbushe mwaka gani huo. Which year?.
 
Sawa, ila kuna jaji Tigana, ni pumbavu fulani na mchumia tumbo leo limeharibu uhusiano huo kwenye kesi ya Mheshimiwa Mbowe kwa kutoa maamuzi ya kijinga akidhani anamfurahisha Rais Samia. Jinga kabisa hili jaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…