Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

Picha hazitusaidii wakati pesa ya uma inaibiwa.

Twende kwenye mambo ya msingi tuachane na habari za picha
 
Katika majukwaa ya kisiasa Tanzania wiki hii pengine picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli wakati wakitoka kwenye Futari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Aprili. 2023 inaweza kuwa picha bora zaidi ya wiki.

Mbali na mavazi ya stara waliyovalia, lakini Mama Janeth Magufuli anaonekana amenawiri na mwenye tabasamu liliojaa bashasha,

Vipi Wanajamvi ninyi mnaonaje picha hii?
View attachment 2589734
Anataka kumsilimisha kama Wahid Mzinze
 
Back
Top Bottom