Rais Samia na Mama Janeth Magufuli, picha bora ya wiki

walikuwa wameshaachana kimwili ila walibaki kuwa wanandoa kwenye makaratasi,walianza kuwa karibu kwasababu ya jamaa kupata urais ikamlazimu huyo mama kufata utaratibu maana rais hawez kuwa ikulu bila mke
Kwahiyo waliwahi kutengana au muda wote huo wamekuwa wakiishi pamoja na kuachana?
 
Mngependa sana waungane kumtukana JPM lakini haiwezi kutokea,
Njoo huku kusini utaona kumbe kuna tofauti ya watanzania wa jamii forum na wa huku wanaoishi maisha ya uhalisia ambao hawafake chechote uone ni kwanamna gani watu wanamkumbuka jpm balaa
 
Kila mtu akifurahi anakuwa mzuri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…