chukua hiyo point na uwaeleze na wenzako gentleman, ni muhimu sana ili kuepuka usumbufu na upotoshajiChawa kama chawaππππ
zinagtia maelezo hayo muhimu sana kwa hiyari bila mihemko gentleman, ili kuepuka upotoshajiWacha uongo wewe kibuzi marika
siana haja ya kubabaika na hali anayojiskia mdau yeyote wa JF kulingana na ukweli kama huo,We faza unaboa km nyaa ya aliyekula mayai na maharage
Not realistic, (lacking value for money),ni project kubwa muhimu sana ya miaka mi3 gentleman
Naona Msigwa umekuja kuteteaacha upotoshaji kivivu namna hiyo gentleman,
Lupaso iko kwenye ukarabati mkubwa,
na kazi nzuri sana inaendelea maeneo mengine ya uwanja huo,
eneo la pitch ni eneo la mwisho katika maboresho hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kukamilika mwanzoni mwa mwaka ujao.
ni muhimu ukamwambia na wenzako gentleman bila upotoshaji
Afu utasikia Mwingine anaosha magari anatafuta ela ya kujenga Vyoo. Hivi Trillion 97 tunazodaiwa zilifanyia Nini haswa hio ela Hahahaha Nyingi sana kusema kwamba bado kunashule ya serekali haina Vyoo au kusema Kijiji flani hakina maji afu mchina amejaza Machine za kamari mjini na kodi serekali anakula LIFE WAS NEVER MEANT TO BE EASY ila Hii Life cycle tunaishi Tanzania Ni Comedy hata majirani zetu wote wanajua sisi ni masnitch tumepewa uhuru kwa maneno nani alisema uhuru unatolewa na maneno nikibanda cha Mkoloni hatumpi tunachotaka tunatoa anachotakaKama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia?
Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma na katavi zitafanywaje?
Aise nimelia baada ya kuiona pitch ya uwanja wa benjamini Mkapa .!!
Nimekumbuka kauli ya Magufuli kwamba Viongozi hata makaburi yenu yanatakiwa kuchwapwa viboko!!
Ukarabati wa billion zaidi ya 50 pesa yote imepigwa na kitumbo mavi na wakina Msigwa wapo wanaimba mapambie!!
ndio kuna ucheleweshaji umetokea,sababu zingine ni za upande wetu kwa kila mara kuwaomba wakandarasi kusimama kazi ili mechi kadhaa zichezwe na zingi ni za ucheleweshaji wa vifaa kutokana na sababu mbalimbali lakini tuwe wavumilivu tu mambo yatakaa sawaTangu 2023??
wala hio sio sanabu mangapo makubwa kaweza?Msaidieni mama peke yake hawezi
Nakubali bro tuikumbatie ccm yetu au unaonaje,π€siana haja ya kubabaika na hali anayojiskia mdau yeyote wa JF kulingana na ukweli kama huo,
, jukumu langu la muhimu na la maana zaidi ni kueleza umma ukweli mtupu dhidi ya upotoshaji wa baadhi ya wadau wanaotafuta kiki za kindezi.
,
na si unajua ukweli ulivyo mchungu na unavyoumiza moyo? vumila tu utazoea gentleman na makasiriko yako yataisha kabisa
Mbwa ukimjua jina hakupi tabuWatu wanajipigia halafu wanamsifia
Mkuu mwanamke ni mwanamke tu elewa ninachosema. Hata hayo aliyoyaweza ni nguvu ya aliowawekawala hio sio sanabu mangapo makubwa kaweza?
Ila huwa anakushangaa kwa maana harufu haitambuiMbwa ukimjua jina hakupi tabu
sio chawa,ni funzaChawa kama chawaππππ
sifahamu,Nakubali bro tuikumbatie ccm yetu au unaonaje,π€
chukua hiyo point na ukawaeleze na wenzako bila kificho gentlemanNaona Msigwa umekuja kutetea
Acha huo ujinga mara moja! Waliosababisha ucheleweshaji wamewajibishwa?ndio kuna ucheleweshaji umetokea,sababu zingine ni za upande wetu kwa kila mara kuwaomba wakandarasi kusimama kazi ili mechi kadhaa zichezwe na zingi ni za ucheleweshaji wa vifaa kutokana na sababu mbalimbali lakini tuwe wavumilivu tu mambo yatakaa sawa