Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

no my friend plz,
katika ujenzi au ukarabati wa uwanja wowote ule duniani, pitch hua ni kazi ya mwisho kabisa katika ujenzi huo,

kumbuka ukarabati huu unalenga afcon2027,
kwa kazi zinazoendelea maeneo tofauti na pitch , huenda kazi ya pitch inawenza kuanza mapema mwaka ujao.
Na hii haina maana kwamba wanja hautatumika pale unapohitajika kwa umuhimu wa kipekee.

ni vizuri sana kuwa wastahimilivu na wenye subra kwenye jambo hili my friends, ladies and gentleman
 
Mkuu mwanamke ni mwanamke tu elewa ninachosema. Hata hayo aliyoyaweza ni nguvu ya aliowaweka
huo ni unyanyasaji wa kijinsia mangapi huyo mwanamke amekamilisja tuache kushambulia bila ushahidi
 
Huu uwanja haujengwi unakarabatiwa na watu ambao wameahirisha kufikiri, (wamejizima data)
 
Ukisikia mteule wa Rais anasema Mama mitano tena kuwa nae makini nyuma ya pazia kuna mengi🤣🤣
 
Yaani wewe umekaaa kama AI, sema ni ile AI iliyokaririshwa kutetea kila kitu cha Rais.
 
Wewe ni chawa mpuuzi sana!
 
Yaani wewe umekaaa kama AI, sema ni ile AI iliyokaririshwa kutetea kila kitu cha Rais.
sifahamu gentleman,
bat jukumu langu muhimu la kizalendo ni kusema ukweli kwenye mambo ya msingi tu
 
Huu uwanja haujengwi unakarabatiwa na watu ambao wameahirisha kufikiri
ndio,
unakarabatiwa kwa awamu,
na awamu ya mwisho ya ukarabati huo ni kwenye pitch, kazi ambayo inategemewa kuanza mapema mwaka ujao,

shida iko wapi hapo my friends, ladies and gentleman?
 
Aisee pitch ilikua mbovu mmno
 
Kwa yale yalionekana mechi ya Simba vs Al Masry, uuuuwiiiiiii wololo yaye, ni kwamba Bil. 30 imekwenda kama kindege cha Aviator..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…