Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?



Mbona taarifa yako na taarifa ya katibu mkuu ni tofauti?

Wewe unasema eneo la kuchezea ndio la mwisho wakati wahusika wanasema eneo la kuchezea ni done bado sehemu ya jukwaaa

Shida yenu mnakuwa waongo mpaka mnashindwa kudanganya tena

Uwanja wa Azam hujai maji vile hata mvua iwe ya wiki mzima

Ni AIBU AIBU

Gentleman sio kila kitu uje kutetea

Mambo mengine kaa kimya
 
Yupo bize kumdhibiti Lissu
 
Wewe sio mzima
 
Ww kima co lazma uchangie.....pesa inayozungumziwa hapa co ya urith wa babako wala babu yako
 
Hii ni aibu kubwa sana, uwanja wa taifa unafungiwa
 
Endelea kulipa Kodi sisi tule.
 
Ni kiongozi MJINGA asiye na uchungu na fedha za masikini watanzania anayeweza kunyamazia haya yanayoendelea
Tanzania tungekuwa na Rais mjinga mbona tunge jivunia tatizo lenu mnashindwa kujua tofauti ya MJINGA NA MPUMBAVU.
 
Unajua kuwa CHAN inapigwa hapo?
kuna uwanja, wa Gen.Isamuhyo mbeleni, KMC, Azam complex na ule wa Airtel Studium wa Singida Black Stars pale Singida vitatumika,

usikue na wasiwasi gentleman
viwanja vya kutosha vipo Tz๐Ÿ’
 
Huyu maza yeye kutoa pesa kwa ajili ya miradi yupo vzur tatzo ni kuzisimamia na kuzifatilia
 
..hakuna ukarabati wa miaka miwili kamwe , na hakuna ukarabati unaendelea pale kwa mkapa ni geresha tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ