Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
acha upotoshaji,Kodi ya Watanzania Mabilioni Kwa Mabilioni, Rais SAMIA na Chama chake CCM mliridhia kuzipeleka UWANJA WA TAIFA -BENJAMINI MKAPA .
Hakuna ambaye hajona kilichopo , Licha ya mbwembwe na kelele nyingi za MAJIZI NA MAFISADI zikiachia viclip vyao kufuatia CAF Kufungia uwanja.
Ukweli umejulikana Wenyewe Mechi ya SIMBA .
Kweli kabisa RAIS SAMIA na CCM yako umeamua kua CHURA KIZIWI???
Mpaka Lini RAIS na CCM Mtaendelea kuwapuuza Wananchi ??.
Wizi Wizi Wizi , mnalindana Kwa kua ni Wizi Wizi Wizi Kila Mmoja hamna mwenye Unafuu.
SASA WANANCHI TUNASEMA, SAFARI HII, HAMNA KUSHIRIKI UCHAGUZI, NO REFORMS NO ELECTION.
Mapuuza mnayotufanyia Wananchi ni matokeo ya DOLA kuwasaidia kubakia madarakani, hivo mnaona KURA ya Mwananchi Haina Maana, Tunaenda kurudisha THAMANI YA KURA YA MWANANCHI.
Imeisha hiyoKodi ya Watanzania Mabilioni Kwa Mabilioni, Rais SAMIA na Chama chake CCM mliridhia kuzipeleka UWANJA WA TAIFA -BENJAMINI MKAPA .
Hakuna ambaye hajona kilichopo , Licha ya mbwembwe na kelele nyingi za MAJIZI NA MAFISADI zikiachia viclip vyao kufuatia CAF Kufungia uwanja.
Ukweli umejulikana Wenyewe Mechi ya SIMBA .
Kweli kabisa RAIS SAMIA na CCM yako umeamua kua CHURA KIZIWI???
Mpaka Lini RAIS na CCM Mtaendelea kuwapuuza Wananchi ??.
Wizi Wizi Wizi , mnalindana Kwa kua ni Wizi Wizi Wizi Kila Mmoja hamna mwenye Unafuu.
SASA WANANCHI TUNASEMA, SAFARI HII, HAMNA KUSHIRIKI UCHAGUZI, NO REFORMS NO ELECTION.
Mapuuza mnayotufanyia Wananchi ni matokeo ya DOLA kuwasaidia kubakia madarakani, hivo mnaona KURA ya Mwananchi Haina Maana, Tunaenda kurudisha THAMANI YA KURA YA MWANANCHI.
Wezi nyinyi.acha upotoshaji,
hakuna wa kubabaika na uzushi wako gentleman π
acha upotoshaji,
hakuna wa kubabaika na uzushi wako gentleman π
Gentleman,Mkuu gentleman Ina maana umeuona uwanja lakini ??!
By the way WEWE NI KAZI MAALUM hapa jukwaani.
Ila jaribu kufanya MEASUREMENTS & EVALUATION yaan ndio kusema tumeshindwa ku repair na kuutunza ule uwanja??
Gentleman siasa zetu za u CCM na UCHADEMA tuziweke kando naomba fanya analysis za ki LECTURER.
mbona weo gentleman πWezi nyinyi.
Sasa hivi kipaumbele chake ni kuhakikisha Lissu anapatikana na hatia ya uhaini ili anyongwe hadi afe, hilo likitimia ndiyo atashughulikia mengine, mwacheni kwanza atetee Urais wake kwa kumuondoa duniani hasimu wake, mpeni muda.Kodi ya Watanzania Mabilioni Kwa Mabilioni, Rais SAMIA na Chama chake CCM mliridhia kuzipeleka UWANJA WA TAIFA -BENJAMINI MKAPA .
Hakuna ambaye hajona kilichopo , Licha ya mbwembwe na kelele nyingi za MAJIZI NA MAFISADI zikiachia viclip vyao kufuatia CAF Kufungia uwanja.
Ukweli umejulikana Wenyewe Mechi ya SIMBA .
Kweli kabisa RAIS SAMIA na CCM yako umeamua kua CHURA KIZIWI???
Mpaka Lini RAIS na CCM Mtaendelea kuwapuuza Wananchi ??.
Wizi Wizi Wizi , mnalindana Kwa kua ni Wizi Wizi Wizi Kila Mmoja hamna mwenye Unafuu.
SASA WANANCHI TUNASEMA, SAFARI HII, HAMNA KUSHIRIKI UCHAGUZI, NO REFORMS NO ELECTION.
Mapuuza mnayotufanyia Wananchi ni matokeo ya DOLA kuwasaidia kubakia madarakani, hivo mnaona KURA ya Mwananchi Haina Maana, Tunaenda kurudisha THAMANI YA KURA YA MWANANCHI.
Gentleman π hajawai kukubali criticism....wanasema FEAR OF CRITICISM... PRINCIPAL OF POLITICS.Gentleman,
mimi sina kazi maalumu ya mtu yeyote, nafanya haya kizalendo kwa maslahi mapana ya Taifa langu Tanzania.
Muungwana anapotosha na for sure anazusha.
Kazi bado inaendelea taifa, na haiwezi simama kwasabb ya upotoshaji wa vibaka wa chache wa kisiasa.
Ni muhimu zaid kua wastahimilivu na wenye subra kuliko kuropoka mambo ambayo hayana maana yoyote.
Rais,
ana kazi kubwa na nzito ya kuwatumikia wananchi na waTanzania, apewe nafasi na fursa ya kuongoza nchi na sio kumuhusisha na kazi maeneo mballimbali ambazo bado kukamilika zitaendelea.
huko ni kukosa adabu kwa mkuu wa nchi π
gentleman,Gentleman π hajawai kukubali criticism....wanasema FEAR OF CRITICISM... PRINCIPAL OF POLITICS.
Aibu Sana Sana, Ukweli Usemwe Jaruba Lilembona weo gentleman π
Kijambio tumemkataa hafai kuwa raiskuna uwanja, wa Gen.Isamuhyo mbeleni, KMC, Azam complex na ule wa Airtel Studium wa Singida Black Stars pale Singida vitatumika,
usikue na wasiwasi gentleman
viwanja vya kutosha vipo Tzπ
Gentleman πgentleman,
I'm among family members of both constructive and deconstructive criticisms in all spheres of life, whether in politics, social issues as well as economic spheres.
I thank God kwamba I have answers on all questions about everything posed before me politically speaking π
Duuuu Yaani Wewe Uchawa Wako Umepitiliza Ndugu, Wewe Wa jinsia Gani? Kwenye Vitu Serious Acha kuingiza Usengerema Nduguacha upotoshaji kivivu namna hiyo gentleman,
Lupaso iko kwenye ukarabati mkubwa,
na kazi nzuri sana inaendelea maeneo mengine ya uwanja huo,
eneo la pitch ni eneo la mwisho katika maboresho hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kukamilika mwanzoni mwa mwaka ujao.
ni muhimu ukamwambia na wenzako gentleman bila upotoshaji