Rais Samia: Naanza kupunguza matumizi ya mafuta ofisini kwangu, kwenye msafara wengine nitawaweka kwenye kibasi kimoja

Rais wa kugandisha
 
Kibasi ndiyo kinini hicho?
 
System mbovu ndio imetufanya tupate watu wa hovyo
Acha tu mkuu, kama nchi ni janga kwel kwel, ila kuna wachache wananufaika na huu uhovyo, kuna wakat unajikuta unatamani uwe sehemu ya wanufaika ukijiangalia jns unavomwaga jasho kusaka mkate, huku cag akifumua madudu ya kutosha na hakuna anayejali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…