Rais Samia: Naanza kupunguza matumizi ya mafuta ofisini kwangu, kwenye msafara wengine nitawaweka kwenye kibasi kimoja

Matukio ya kiserikali katika mikoa sasa iwakilishwe na wakuu wa wilaya na mikoa badala ya viongozi wa kitaifa ili kubana matumizi.Fedha zitakazopatikana kwa kubana matumizi zitolewe kama ruzuku kwenye mafuta.Matumizi yasiyokuwa na tija kama kuweka picha nyuma. ya viongozi wanapokuwa kwenye mikutano kusanyiko LA viongozi wakati wa kuapishwa nk.Mipango iwe kwa ajili ya wananchi kwanza.(samahani kama nimewakwaza)
 
 

Kwa hiyo wakati anazurura na msafara wa magari 200 na helicopter 2 juu alikuwa anafikiri mafuta ni bei poa..!? No wonder hata bei ya mafuta haijui....!!
 
Alimaanisha pipa moja siyo Lita
 
Huyu bibi ana mawazo ya ovyo sana. Badala apunguze mishahara ya wabunge na mawaziri na pesa za matanuzi anakuja hapa kutuletea michambo ya "kibasi". Hapa tumepigwa hatuna rais.
 
Acha tu mkuu, kama nchi ni janga kwel kwel, ila kuna wachache wananufaika na huu uhovyo, kuna wakat unajikuta unatamani uwe sehemu ya wanufaika ukijiangalia jns unavomwaga jasho kusaka mkate, huku cag akifumua madudu ya kutosha na hakuna anayejali.
Kabisa, na hii ndio inazidi kutokomeza uzalendo, inafika point nawe ukipata fursa unakula maana system ndio inataka hivyo, ukijidai huli unaweza punguzwa sababu unaziba mianya ya watu
 
Kuna mbunge nimeskia ana pendekeza vikao vyinsivyo na msingi vipunguzwee na posho,nikaona si mbaya yukaanza na wabunge wenyewe kupunguza posho zao wao...kupunguza hata asilimia 2 za mshahara wao uweunaingia serekalini kwa ajili ya matumizi ya mafuta ili kupunguza tozo....je watakubali?
 
Hiv hao viongoz wengi kuambatana kwenye msafara wa rais huwa wanakazi gani?

Na wakati huo wanasehem zao za kaz wanahtajika watatue kero za wananchi.

Na wakumbuke mfumo wa bus, likitokea la kutokea tutazika viongoz wengi kwa mkupuo.
 
Huyu bibi ana mawazo ya ovyo sana. Badala apunguze mishahara ya wabunge na mawaziri na pesa za matanuzi anakuja hapa kutuletea michambo ya "kibasi". Hapa tumepigwa hatuna rais.
mim naona msafara utanoga wakitembelea ata ATHRETE CRWON nyeus, angarau zile bajet ya mafuta ipo chini na nizaheshma.

wauze v8
 
Hata hvo katulia sana. hv kashasafiri nje tangia achinje watu? maana hata ziara za ndani ni kama zimepungua sana, nadhani safari zikikuwa zinamfanya anenepe maana kapungua, au macho yangu?
🤣🤣🤣
Hata najua sasa!
 
Hizi sio akili za kubana matumizi ya serikali labda za kubana makalio. Serikali ina matumizi mengi ya kiqumer lakini amekwepa kuzibana badala yake anakuja na mbinu za kubana makalio.
 
Wamezoea kuwadanganya Watanzania, wanasahau kuwa zama hizi taarifa zote ziko kiganjani, na Watanzania wa sasa sio wa zamani.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…