hiyo idea ndiyo mama kaamua kui apply kwenye msaafara wake, maofisa wote ndani ya kibasi kimojaKama vile viongozi wa Afrika walivyopanda kwenye basi yale mazishi ya Malkia. Hii itapendeza.
Pia ajaribu kufikiria matumizi ya Bajaji na vyombo visivyokula mafuta serikalini kwa safari za ndani ya mji.
Kuwaweka maafisa wote kwenye kibasi ni ukatili wa kihisia.hiyo idea ndiyo mama kaamua kui apply kwenye msaafara wake, maofisa wote ndani ya kibasi kimoja
Alikuwa watu.. siku ya kuapishwa yakaja magari mapya .mnafiki huyuHii nchi ingebahatika kupata viongozi wazalaendo, na wenye akili kubwa na maono ya mbali! Hakika ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
na ni hatari kuangamia wote endapo itatokea bahati mbaya ajali!Kuwaweka maafisa wote kwenye kibasi ni ukatili wa kihisia.
Hiyo itapunguza kiasi gani Cha mafuta kwenye sokoRais Samia ametangaza hatua mpya ya kubana matumizi ya mafuta ndani ya serikali, akieleza kuwa matumizi hayo yamekuwa makubwa kutokana na wingi wa magari na safari za kikazi.
Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi katika Ikulu ya Chamwino, amesisitiza umuhimu wa taasisi za umma kuanza kuchukua hatua za makusudi kupunguza gharama zisizo za lazima.
"Ndani ya Serikali tuna matumizi makubwa sana ya Mafuta, magari ni mengi, safari zetu ni nyingi, niwaombe sana tuanze kupunguza matumizi ya mafututa na ninaanza na ofisi yangu. Kuanzia sasa, ninapokwenda popote, maafisa wote nitawaingiza kwenye kibasi kimoja. Msafara utakuwa na eskoti yangu, polisi na gari ya akiba nyuma. Wanaobakia wote wataingia kwenye kibasi ili kupunguza matumizi ya mafuta." - Rais Samia Suluhu Hassan akitangaza kuanza kubana matumizi ya mafuta serikalini, akianza na ofisi yake.
Rais Samia ameyasema hayo Aprili 8, 2026 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Nashaur tena ule usafiri wa Isuzu zile za blue ambazo zilikua kwenye mashule zile za kizamani mpaka lisukumwe ndio liwake..Nitafulahi kuona machawa akina Lucas Mwashambwa big show wakipanda kweny kibasi
Bahati mbaya sana sasa hivi tunang'ara kuongozwa na mipasho.... Mama yeye amesema ukiharibu utatajwa ili uone aibu....Hii nchi ingebahatika kupata viongozi wazalaendo, na wenye akili kubwa na maono ya mbali! Hakika ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
KengeRais Samia ametangaza hatua mpya ya kubana matumizi ya mafuta ndani ya serikali, akieleza kuwa matumizi hayo yamekuwa makubwa kutokana na wingi wa magari na safari za kikazi.
Akizungumza wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi katika Ikulu ya Chamwino, amesisitiza umuhimu wa taasisi za umma kuanza kuchukua hatua za makusudi kupunguza gharama zisizo za lazima.
"Ndani ya Serikali tuna matumizi makubwa sana ya Mafuta, magari ni mengi, safari zetu ni nyingi, niwaombe sana tuanze kupunguza matumizi ya mafututa na ninaanza na ofisi yangu. Kuanzia sasa, ninapokwenda popote, maafisa wote nitawaingiza kwenye kibasi kimoja. Msafara utakuwa na eskoti yangu, polisi na gari ya akiba nyuma. Wanaobakia wote wataingia kwenye kibasi ili kupunguza matumizi ya mafuta." - Rais Samia Suluhu Hassan akitangaza kuanza kubana matumizi ya mafuta serikalini, akianza na ofisi yake.
Rais Samia ameyasema hayo Aprili 8, 2026 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali katika Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Viongozi licha ya kuonyesha njia huwa hawatoshi peke yao, wanaishia kutengenezewa majungu muda mwingine kuuliwa.Hii nchi ingebahatika kupata viongozi wazalaendo, na wenye akili kubwa na maono ya mbali! Hakika ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Kweli kabisa mkuuHii nchi ingebahatika kupata viongozi wazalaendo, na wenye akili kubwa na maono ya mbali! Hakika ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Yule anayemiliki Bentley, sijuwi kwa mshahara gani! Yule aliahidi kumleta Arnold Schwarzenegger, badala ya kuboresha miundo mbinu au huduma za jamii kwenye mkoa wake! Yule mpiga debe kwa kuwaponda na kuwatishia wote wanaotaka uraisi toka kwa mama wanu! Kazi ipo!Kuna kiongozi mmoja huko Arusha niliwah kumuona kapanda farasi kwenye msafara wake pia nikaona tena kapanda mkokoteni kwenye msafara wake mimi naona kwasasa kuna haja yakutumia usafiri huo kukwepa gharama ya mafuta.
Ingekuwa enzi za yule bwana,hili lingekuwa kama kumsukuma mlevi tu!Kama vile viongozi wa Afrika walivyopanda kwenye basi yale mazishi ya Malkia. Hii itapendeza.
Pia ajaribu kufikiria matumizi ya Bajaji na vyombo visivyokula mafuta serikalini kwa safari za ndani ya mji.
Mimi nikifikiri maamuzi ya busara yalipaswa kuwa ni serikali kuweka ruzuku kwenye ununuzi wa mafuta ili kupunguza ukali wa bei kwa wananchi wa kawaida.na ni hatari kuangamia wote endapo itatokea bahati mbaya ajali!
Alimaanisha pipa moja siyo Lita
hahaha daaah hapo wew ndo umewamalza kabxa, watakoswa hata morali ya kazi ya uchawaNashaur tena ule usafiri wa Isuzu zile za blue ambazo zilikua kwenye mashule zile za kizamani mpaka lisukumwe ndio liwake..
Utawafaa sana sanaa hao majamaa
bajet ya mwenge wangeiweka kweny mafuta.Mwenge upo kama kawaida mkuu.