Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ngumu kwake kuwa na falsafa kwasababu huo Urais hakuutegemea, ulimtokea kama muujiza, labda ataipata falsafa yake mbele ya safari akishayazoea mazingira.Rais Samia ana umagufuli na ana ukikwete pia
hana falsafa yake binafsi
Yale magazeti yaliyofunguliwa yataanza kufungiwa tena, kwani mara zote kosa lao huwa sio kuvunja sheria, bali kutowafurahisha watawala kwenye magazeti yao, mpaka sheria kandamizi zitakapobadilishwa ndio watakuwa huru.
Tutegemee kupata habari za kupongeza na kusifia tuu.anakosema Waandishi wakiwa wanaandika watafakari kama hili litamkera Mama au laa sio sawa …hilo alipaswa amueleze Gerson Msigwa na Zuhura Yinus
Waandishi kwmy kazi yao kuna misingi ya kuzingatia ikiwemo sheria, maslahi ya Nchi na ushahidi wa wanachokiandika sio kutathmini kama Rais atafurahi au laa
Hii biashara kichaa ndio iliyonifanya nisihangaike na magazeti, nikishaona heading asubuhi kwenye simu yangu inatosha.mie ni mpenzi sana wa kusoma Magazeti …siku hizi magazeti yote yanafanana tofauti ipo kwny jina la gazeti na mbinu za kuweka headings tu lakini contents zote zinafanana
Huyu mama bado hajajua kuwa anaamini kitu gani na anasimamia kitu gani.Rais Samia ana umagufuli na ana ukikwete pia
hana falsafa yake binafsi
mie nimemsikiliza sijaridhishwa nae
anakosema Waandishi wakiwa wanaandika watafakari kama hili litamkera Mama au laa sio sawa …hilo alipaswa amueleze Gerson Msigwa na Zuhura Yinus
Waandishi kwmy kazi yao kuna misingi ya kuzingatia ikiwemo sheria, maslahi ya Nchi na ushahidi wa wanachokiandika sio kutathmini kama Rais atafurahi au laa
Anasema ana ngozi ngumu hapo hapo anasema Waandishi wajitathnini kama habari zao zitaikera Serikali sasa hapo 'ugumu wa ngozi ' unapimwaje?
Jakaya na Mzee Ally Hassan ndio ma Rais wana Demokrasia zaid kuwahi kutokea hapa nchini na itachukua muda sana kupata wa mfanano nao
Rais anayeongoza kwa vitisho si dalili ya kujiamini.Rais Samia ana umagufuli na ana ukikwete pia
hana falsafa yake binafsi
mie nimemsikiliza sijaridhishwa nae
anakosema Waandishi wakiwa wanaandika watafakari kama hili litamkera Mama au laa sio sawa …hilo alipaswa amueleze Gerson Msigwa na Zuhura Yinus
Waandishi kwmy kazi yao kuna misingi ya kuzingatia ikiwemo sheria, maslahi ya Nchi na ushahidi wa wanachokiandika sio kutathmini kama Rais atafurahi au laa
Anasema ana ngozi ngumu hapo hapo anasema Waandishi wajitathnini kama habari zao zitaikera Serikali sasa hapo 'ugumu wa ngozi ' unapimwaje?
Jakaya na Mzee Ally Hassan ndio ma Rais wana Demokrasia zaid kuwahi kutokea hapa nchini na itachukua muda sana kupata wa mfanano nao
Mbona waandishi wenyewe walishangilia kwa kudemkaNimesikiliza hotuba ya Rais wetu leo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani
Kwenye hotuba hiyo ambayo rais alikuwa katika mood ya kitofauti alisikika akiwaambia waandishi wa habari kuwa, 'ukinikuna nami nitakukuna, ila ukinikwaruza nitakuparura'
Kwa tafsiri rahisi ni kuwa anawaambia waandishi kuwa wakimuandika vizuri yeye pia atawapa favor, ila walimuandika vibaya watakiona cha mtema kuni
Hiki ni kitisho kwa waandishi kuandika habari zao kwa uhuru bila hofu ya kumkwaza Rais
Nadhani angewaasa kuandika habari kwa weledi zisizoegemea upande fulani, sio kumfurahisha
Rais yuko sahihi kwa asilimia 100. Tena kafanya vema kuwagonga waandishi kutoka nchi zote za Afrika. Waandishi (baadhi) wa Afrika ndiyo wanaolibagaza bara hili. Wanajua tu wanezaliwa Afrika lakini hawajui THAMANI YA AFRIKA. Hawana tofauti na baadhi ya wanasiasa wasiojua THAMANI YA AFRIKA. WAJISAHIHISHE.Nimesikiliza hotuba ya Rais wetu leo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani
Kwenye hotuba hiyo ambayo rais alikuwa katika mood ya kitofauti alisikika akiwaambia waandishi wa habari kuwa, 'ukinikuna nami nitakukuna, ila ukinikwaruza nitakuparura'
Kwa tafsiri rahisi ni kuwa anawaambia waandishi kuwa wakimuandika vizuri yeye pia atawapa favor, ila walimuandika vibaya watakiona cha mtema kuni
Hiki ni kitisho kwa waandishi kuandika habari zao kwa uhuru bila hofu ya kumkwaza Rais
Nadhani angewaasa kuandika habari kwa weledi zisizoegemea upande fulani, sio kumfurahisha
Ungemsikiliza vizuri acha kudandia manenoNimesikiliza hotuba ya Rais wetu leo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani
Kwenye hotuba hiyo ambayo rais alikuwa katika mood ya kitofauti alisikika akiwaambia waandishi wa habari kuwa, 'ukinikuna nami nitakukuna, ila ukinikwaruza nitakuparura'
Kwa tafsiri rahisi ni kuwa anawaambia waandishi kuwa wakimuandika vizuri yeye pia atawapa favor, ila walimuandika vibaya watakiona cha mtema kuni
Hiki ni kitisho kwa waandishi kuandika habari zao kwa uhuru bila hofu ya kumkwaza Rais
Nadhani angewaasa kuandika habari kwa weledi zisizoegemea upande fulani, sio kumfurahisha
Kwa hiyo kujua thamani ya Afrika ni kuandika habari za kumfurahisha rais?Rais yuko sahihi kwa asilimia 100. Tena kafanya vema kuwagonga waandishi kutoka nchi zote za Afrika. Waandishi (baadhi) wa Afrika ndiyo wanaolibagaza bara hili. Wanajua tu wanezaliwa Afrika lakini hawajui THAMANI YA AFRIKA. Hawana tofauti na baadhi ya wanasiasa wasiojua THAMANI YA AFRIKA. WAJISAHIHISHE.