Rais Samia nae ameanza vitisho kwa waandishi kama Magufuli, inasikitisha

Rais Samia nae ameanza vitisho kwa waandishi kama Magufuli, inasikitisha

Kupanda kwa bei ya mafuta is not a big news kwasababu it's anticipated muda mrefu kabla.
Hakuna yeyote anayemlinda january Makamba, the truth is January ni very smart upstairs

hivyo kumjengea maadui,

Hili la mafuta, January, ameisha liongelea vizuri kabisa

P
Pascal kuwa kiongozi sio lelemama....kuongelea jambo bila kutafuta utatuzi ni upuuzi...
Kwa kifupi wafanya biashara wameiweka serikali mfukoni...very Sad indeed...
Ila kitaeleweka tu....muda ni mwalimu mzuri sana

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Rais Samia ana umagufuli na ana ukikwete pia

hana falsafa yake binafsi

mie nimemsikiliza sijaridhishwa nae

anakosema Waandishi wakiwa wanaandika watafakari kama hili litamkera Mama au laa sio sawa …hilo alipaswa amueleze Gerson Msigwa na Zuhura Yinus

Waandishi kwmy kazi yao kuna misingi ya kuzingatia ikiwemo sheria, maslahi ya Nchi na ushahidi wa wanachokiandika sio kutathmini kama Rais atafurahi au laa

Anasema ana ngozi ngumu hapo hapo anasema Waandishi wajitathnini kama habari zao zitaikera Serikali sasa hapo 'ugumu wa ngozi ' unapimwaje?

Jakaya na Mzee Ally Hassan ndio ma Rais wana Demokrasia zaid kuwahi kutokea hapa nchini na itachukua muda sana kupata wa mfanano nao
Wengine wetu tulishambuliwa na kukashifiwa kwa kuikosoa serikali ya Kikwete !!
 
kuna Tarura na Ewuru hizi taasisi ni tatizo.
mama anataka kuongeza balaa lingine la kupara na kuparura.
 
Pascal kuwa kiongozi sio lelemama....kuongelea jambo bila kutafuta utatuzi ni upuuzi...
Kwa kifupi wafanya biashara wameiweka serikali mfukoni...very Sad indeed...
Ila kitaeleweka tu....muda ni mwalimu mzuri sana

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Inafikirisha sana !!
 
We si umemuona Balile jana! Huyu bwana ni mjinga sana! Alikuwa anamsifia Jiwe jana anaongea vingine! Unafikiri Rais hajajua walivyo vichwa panzi! Na Samia alivyo mnafiki anawaambia hata wakipungukiwa mfukoni wanaweza kupiga simu akawawezesha!
Hivyo ndivyo wanavyojua wachumia tumbo wengi !!!
 
We si umemuona Balile jana! Huyu bwana ni mjinga sana! Alikuwa anamsifia Jiwe jana anaongea vingine! Unafikiri Rais hajajua walivyo vichwa panzi! Na Samia alivyo mnafiki anawaambia hata wakipungukiwa mfukoni wanaweza kupiga simu akawawezesha!
Hiyo ndio shida tuliyonayo !!
 
Sijanunua gazette mwaka with 6 huu. Sijaona namala za nguvu ya hoza ndani ya magazeti miaka 6 sasa.
Usiweke kisingizio hapa. Wewe unaonyesha wala sio msomaji/mnunuzi wa magazeti!
 
Yani wanavyomsifia hivyo bado tu anawachamba?
 
So hii ni bifu na waandishi?
Wakubwa katika Africa ni ngumu sana kuvumilia freedom of expression !! Huo Ndio ukweli !! Na utakuta hapo watu wanaweza kunyanyaswa na kudhalilishwa na wale wanaojipendekeza kwa wakubwa bila hata ya kutumwa kufanya hivyo !! Kauli za wakubwa Mara nyingi zinatafsiriwa vibaya na wale wachumia tumbo wanaojipendekeza !! Baadaye lawama ni lazima zitaenda kwa wakubwa maana itaonekana kama wao ndio waliobariki huo uovu !!
 
Back
Top Bottom