Rais Samia nae ameanza vitisho kwa waandishi kama Magufuli, inasikitisha

Huyu alifaa zaidi kwenye taarabu sio uongozi wa nchi
 
Naskkitika tu gazeti la raia mwema kuwekwa mfukoni.
Leo hakuna gazeti lililoandika kuhusu Bei ya mafuta kupanda sana
 
Ka
Ila kwakweli awamu hii ya kwake.

Naona Magazeti yakimsifia mno

Kuliko awamu nyingine yeyote ile.

Unakuta magazeti karibia matano yanaandika almost the same title.

Sasa kama anataka waongeze kusifu itakua balaa.
Kama Waandishi wenyewe ni hawa ambao alisema huwa wanampigia simu kumsalimia na wengine kumuomba pesa kwa nini wasimsifie? Ndiyo maana huyu Balire haishi kusifia awamu hii na kuiponda awamu iliyopita.

Mama kawaumbua jana, ni aibu kubwa sana kuwa na Taifa lenye Waandishi wa hovyo namna hii, kuomba pesa kwa Rais ndiyo Uhuru wa Vyombo vya habari waliokuwa wanautaka?
 
Waandishi nao wakapiga makofi kwakumshangilia sana
 
Waandishi nao wakapiga makofi kwakumshangilia sana
Ni njaa tu zinawatesa Mkuu! Hata hicho kipindi wanachosema Uhuru wa Vyombo vya Habari uliminywa "still" walikuwa wakipiga makofi.

Kama Rais kasema huwa wanampigia simu kumuomba chochote kitu usitegemee Weledi kwenye uandishi wao.
 
Ameanza kwenda hovyo sasa.
 
Umeandika ukweli. Slogan ya awamu hii ni kuhonga waandishi kwa gharama yoyote. Gazeti linaloongoza kuwekwa mfukoni ni Mwananchi limekuwa zaidi ya gazeti la UHURU
Chunguza uone gazeti hili linavyotumia na serikali hii hasa linapokuja suaala la kumlinda january makamba.

Iv inakuwaje magazeti yote yanakuwa na vichwa vya habar vinavyofanana? Huku burning issue kama kupanda kwa BEI ya mafuta ikipuuzwa! Cc Pascal Mayalla
 
Kupanda kwa bei ya mafuta is not a big news kwasababu it's anticipated muda mrefu kabla.
Hakuna yeyote anayemlinda january Makamba, the truth is January ni very smart upstairs

hivyo kumjengea maadui,

Hili la mafuta, January, ameisha liongelea vizuri kabisa
P
 
Na demo yao wamekusaidia nn au Taifa kwa ujumla
 
Unajisogeza karibu, Ila Kama haupo kwenye circle yao ni kazi bure
 
Afunge, atishe yote sawa mlizidi sana kumkejeli mzee wa watu legendary John, sasa ndiyo mtulie dawa iwaingie.
 
Hangaya keshalewa kilevi kiitwacho madaraka. Hawa watu wanaopata mamlaka kwa ngekewa ni shida tupu kwa kweli. N ulimbukeni flani hivi huwa unawasumbua.
 
January aliondoa tozo ya shillingi mia moja kwenye mafuta ili apate sifa kwa mgongo wa rais kinyume na taratibu za kibajeti unasemaje katika hili Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…