Rais Samia nae ameanza vitisho kwa waandishi kama Magufuli, inasikitisha

Pascal kuwa kiongozi sio lelemama....kuongelea jambo bila kutafuta utatuzi ni upuuzi...
Kwa kifupi wafanya biashara wameiweka serikali mfukoni...very Sad indeed...
Ila kitaeleweka tu....muda ni mwalimu mzuri sana

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Wengine wetu tulishambuliwa na kukashifiwa kwa kuikosoa serikali ya Kikwete !!
 
kuna Tarura na Ewuru hizi taasisi ni tatizo.
mama anataka kuongeza balaa lingine la kupara na kuparura.
 
Inafikirisha sana !!
 
We si umemuona Balile jana! Huyu bwana ni mjinga sana! Alikuwa anamsifia Jiwe jana anaongea vingine! Unafikiri Rais hajajua walivyo vichwa panzi! Na Samia alivyo mnafiki anawaambia hata wakipungukiwa mfukoni wanaweza kupiga simu akawawezesha!
Hivyo ndivyo wanavyojua wachumia tumbo wengi !!!
 
We si umemuona Balile jana! Huyu bwana ni mjinga sana! Alikuwa anamsifia Jiwe jana anaongea vingine! Unafikiri Rais hajajua walivyo vichwa panzi! Na Samia alivyo mnafiki anawaambia hata wakipungukiwa mfukoni wanaweza kupiga simu akawawezesha!
Hiyo ndio shida tuliyonayo !!
 
Sijanunua gazette mwaka with 6 huu. Sijaona namala za nguvu ya hoza ndani ya magazeti miaka 6 sasa.
Usiweke kisingizio hapa. Wewe unaonyesha wala sio msomaji/mnunuzi wa magazeti!
 
Yani wanavyomsifia hivyo bado tu anawachamba?
 
So hii ni bifu na waandishi?
Wakubwa katika Africa ni ngumu sana kuvumilia freedom of expression !! Huo Ndio ukweli !! Na utakuta hapo watu wanaweza kunyanyaswa na kudhalilishwa na wale wanaojipendekeza kwa wakubwa bila hata ya kutumwa kufanya hivyo !! Kauli za wakubwa Mara nyingi zinatafsiriwa vibaya na wale wachumia tumbo wanaojipendekeza !! Baadaye lawama ni lazima zitaenda kwa wakubwa maana itaonekana kama wao ndio waliobariki huo uovu !!
 
Not bifu bali ni vile anaona mnaanza kutumia uhuru vibaya, ndiposa anatumia issue ya picha, sinema mbaya za watoto as kuongea.
Kutumia vizuri ndio kuisifu serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…