imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
😂😂😁Mbona kama munatoa ushawishi na wengine tukipata nafasi tukatatembee huko😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😁Mbona kama munatoa ushawishi na wengine tukipata nafasi tukatatembee huko😆
Biteko yuko vizuri.Kijana Biteko sasa atakula kwa amani huku akiwa na usingizi wa pono na kula mbususu bila mastress
Yaani ninyi watu bwana Sasa rais azungumze nn kuhusu magendo ya vitenge?wakati tayari vimekamatwa Kuna mamlaka nyingi zinashunghulikia Sasa rais aseme nn mkuu?Atie neno kidogo kuhusu Magendo ya Vitenge.
Hahahaha ila vina k tamu sana ila wanasema kuna ukimwi sanaKwasisi maderava huwa tunapaita "Shamba la nyege" ni sehemu nzuri ya kupumzika na Vidada vya Kisubi.
Jina la kitambo sanaPanaitwa shamba la nyege.[emoji28][emoji28]
#MaendeleoHayanaChama
Ni sahihi unachosema watu wanapigana majungu SanaNakumbuka zile kelele za wakati ule kwamba madini yanatoroshwa, tena miongoni mwa walalamikaji alikuwa Samia mwenyewe, sijui ziliishia wapi.
Inaonekana Rais alikuja kugundua anadanganywa na wasaidizi wake, yale yalikuwa majungu yao huko serikalini ya walioitaka nafasi ya jamaa, ila baada ya wao kupewa ulaji wako wakaufyata.
AstukeKijana Biteko sasa atakula kwa amani huku akiwa na usingizi wa pono na kula mbususu bila mastress
Kuna tuhuma nzito inaowahusisha wazito walio karibu yake.Yaani ninyi watu bwana Sasa rais azungumze nn kuhusu magendo ya vitenge?wakati tayari vimekamatwa Kuna mamlaka nyingi zinashunghulikia Sasa rais aseme nn mkuu?
Wote wanakula dozi wala hawaambukizi.Hahahaha ila vina k tamu sana ila wanasema kuna ukimwi sana
USSR
Biteko yupo vizuri sana na anafanya kazi yake vizuri sanaBiteko yuko vizuri.
Biteko ni Kiongozi aliyelelewa na kufundishwa nini maana ya uongozi ndani ya Chama na ndani ya Serikali ndiyo Maana Mhe.Rais Mama Samia Suluhu ameendelea kumuamini katika sekta ya Madini.Biteko unaupiga mwingi sana hongera.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022
Kwanza nawashukuru, nimeingia Geita jana asubuhi sana, tumefungua hospitali ya kanda pale chato, lakini tukafungua kiwanda cha kuchenjua dhahabu itakayouzwa duniani kote, pia kituo cha umeme.
Langu mimi ni kuwahakikishia, mimi pamoja na wasaidizi wangu wakiwemo mawaziri, wabunge tupo kuitumikia Tanzania. Tupo kumtumikia mtanzani, kuleta maendeleo na kujenga Tanzania yetu.
Ombi langu kwenu, bakini na amani. Tunzeni amani na utulivu kwenye maeneo yetu, twendeni tukachape kazi, kila mtu kwa kazi anayoifanya, kila mmoja achangie maendeleo ya nchi yetu.
Sisi ni wakusanyaji wa fedha ili tulete maendeleo kwenu, hatukusanyi tusibebe sisi, hapana. ndo pesa mnazosikia mama amemwaga, mama amemwaga, ni kwa sababu tumekusanya kutoka kwenu. Tuchape kazi ili tulete maendeleo.
Nawashukuru kwa zawadi zote mlizonimiminia, ili vijana wangu waweze kufanya kazi saa 24, na ili serikali iweze kukusanya mapato ya kutosha, naleta taa za barabarani.
Mmenipa kijana mzuri sana (Waziri Wa madini Doto Biteko) aliyenyanyua sekta ya madini kutoka kuchangia asilimia 4 ya pato la taifa, sasa inachangia karibia asilimia 8. Ndo maana mnaona nawagusa wote nawabadilisha, lakini Biteko yupo hapohapo. Kwa sababu anafanya kazi nzuri sana, anaichangia Tanzania vizuri sana, mtihani wake ni hadi 2025, asipofikia asilimia 10 (ya mapato) atakuwa amewaangusha wananchi wa Bukombe. Akifikisha asilimia 10, Biteko oyee.
Kuna watu wanaitwa wezi watakatifu.Biteko yupo vizuri sana na anafanya kazi yake vizuri sana
Mmenipa kijana mzuri sana (Waziri Wa madini Doto Biteko) aliyenyanyua sekta ya madini kutoka kuchangia asilimia 4 ya pato la taifa, sasa inachangia karibia asilimia 8. Ndo maana mnaona nawagusa wote nawabadilisha, lakini Biteko yupo hapohapo. Kwa sababu anafanya kazi nzuri sana, anaichangia Tanzania vizuri sana, mtihani wake ni hadi 2025, asipofikia asilimia 10 (ya mapato) atakuwa amewaangusha wananchi wa Bukombe. Akifikisha asilimia 10, Biteko oyee.
Kumbe ndo maana wewe huwa wa ovyo kwa vile umeishi RunzeweHapana,ni Mji wangu maarufu, nimeishi sana hapo, na wenyeji wake wanaitwa Wasumbwa.
Runzewe - Nyakanazi - Benako - Rusumo (one stop boarder) -RwandaRunzewe ndiyo wapi huko? Ni jamhuri ya watu wa Rwanda?
Yaani reserve yote ya madini tuliyonayo kwa kuchimbwa miaka yote hii, inachangia aslimia 8 tu ya pato la taifa????
Aisee!!
Na 50% ya hiyo 8% iliongezwa na Magufuli kabla ya Magu ilikuwa 3% tu, …
Hata yule waziri mkubwa wa mama chibonge?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Runzewe mkoa wa Geita, leo tarehe 16 Oktoba, 2022