Rais Samia: Nagusa na Kubadili Mawaziri wote isipokuwa Biteko, anafanya kazi nzuri

Atie neno kidogo kuhusu Magendo ya Vitenge.
Magendo ya vitenge hayatomalizika as long as sera za kodi ya vitenge ya kuwalinda Wahindi itabakia kama ilivyo.

Unajuwa kuwa TRA wanataka ulipie 500,000 kwa kila beli moja la kitenge?
 
Kulinda Viwanda vya ndani yakhe.
 
Mmenipa kijana mzuri sana (Waziri Wa madini Doto Biteko) aliyenyanyua sekta ya madini kutoka kuchangia asilimia 4 ya pato la taifa, sasa inachangia karibia asilimia 8. Ndo maana mnaona nawagusa wote nawabadilisha, lakini Biteko yupo hapohapo. Kwa sababu anafanya kazi nzuri sana, anaichangia Tanzania vizuri sana, mtihani wake ni hadi 2025, asipofikia asilimia 10 (ya mapato) atakuwa amewaangusha wananchi wa Bukombe.
Atumike kuwajenga kiubunifu, kimtazamo na maarifa mawaziri mzigo
 
Kuna mahali nimepita nikakuta viongozi wa ccm wanamlalamikia Doto Biteko kuwa ni mpigaji mkubwa wizara ya Madini.
Mjukuu wangu Doto Jiandae kidaikologia wizara ya Madini’ imekushinda na unaiongoza kibabe.

Huko mbongwe badala ya mapato yaelekee Geita umeelekeza mbongwe jirani na Jimbo lako la Bukombe.

Tukutakie kila la Heri utakakopangiwa ila Sio wizara ya madini tena.
 
Biteko Yuko vizuri, apunguze tu idadi ya plant anazomiliki, he is a billionaire now.
 
Kuna mahali nimepita nikakuta viongozi wa ccm wanamlalamikia Doto Biteko kuwa ni mpigaji mkubwa wizara ya Madini.
Mjukuu wangu Doto Jiandae kidaikologia wizara ya Madini’ imekushinda na unaiongoza kibabe.

Huko mbongwe badala ya mapato yaelekee Geita umeelekeza mbongwe jirani na Jimbo lako la Bukombe.

Tukutakie kila la Heri utakakopangiwa ila Sio wizara ya madini tena.
Mpigaji wa mda mrefu. Anahodhi Leseni za uchimbaji madini nyingi sana,anahusika kwenye utoroshwaji wa madini nje,amewaweka chawa wake wizarani na ana vihisa vingi kwenye kampuni za uwekezaji nchini
 
Doto kwa sasa utajiri alionao anaweza kununua Urais
Kuna ka msitu kule Bukombe, ni kahifadhi, ila Kuna mzigo mkubwa sana wa dhahabu, sijui kama walishapata leseni ya uchimbaji, kwa jina la yule jamaa, ambaye sio Dotto
 
Naibu Waziri fulani na Busolwa mining wanachukua chao pale na wachimbaji ni wananchi tena wananchi wanachimba bure
 
Na hayo magorofa yake kariakoo mnataka yasiendelee na ujenzi acheni roho mbaya!
Hii nchi ngumu sana kununua nyumba mbovu 1.6 hadi 2 bil .kujenga gorfa 3had 7bil jumla chini kabisa ni uwe na bil 5 sasa waziri ambae hajawahi fanya biashara kama doto .majaliwa .makonda .anatoa wapi hiyo hela hata awe waziri miaka 30
 
Ingieni na ninyi kwenye siasa acheni wivu.

Nawashangaa mnaolalamika lkn kugombea hamtaki. Kazi mnayoiweza ni uchawa na kulalamika tu
 
Kuna mahali nimepita nikakuta viongozi wa ccm wanamlalamikia Doto Biteko kuwa ni mpigaji mkubwa wizara ya Madini.
Mjukuu wangu Doto Jiandae kidaikologia wizara ya Madini’ imekushinda na unaiongoza kibabe.

Huko mbongwe badala ya mapato yaelekee Geita umeelekeza mbongwe jirani na Jimbo lako la Bukombe.

Tukutakie kila la Heri utakakopangiwa ila Sio wizara ya madini tena.
Ila weewe jamaa bhana tangu January hadi Desemba unacheza na Dotto Biteko tu. Huu mradi wako basi ungeweka facts. Siyo sahihi kutumia jukwaa na jina bandia kuchafua watu humu. Tuwekee evidence. 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom