Rais Samia: Nagusa na Kubadili Mawaziri wote isipokuwa Biteko, anafanya kazi nzuri

Ni sahihi unachosema watu wanapigana majungu Sana
 
Yaani ninyi watu bwana Sasa rais azungumze nn kuhusu magendo ya vitenge?wakati tayari vimekamatwa Kuna mamlaka nyingi zinashunghulikia Sasa rais aseme nn mkuu?
Kuna tuhuma nzito inaowahusisha wazito walio karibu yake.

Kweni kuna shida gani atuondoe wasiwasi.
 
Biteko ni Kiongozi aliyelelewa na kufundishwa nini maana ya uongozi ndani ya Chama na ndani ya Serikali ndiyo Maana Mhe.Rais Mama Samia Suluhu ameendelea kumuamini katika sekta ya Madini.Biteko unaupiga mwingi sana hongera.
 

Yaani reserve yote ya madini tuliyonayo kwa kuchimbwa miaka yote hii, inachangia aslimia 8 tu ya pato la taifa????

Aisee!!
 
Kila kukicha Kanda ya ziwa,

Pengine hapaoni????

Mbona Nchi ni kubwa sana hii!!!!
 
Yaani reserve yote ya madini tuliyonayo kwa kuchimbwa miaka yote hii, inachangia aslimia 8 tu ya pato la taifa????

Aisee!!

Na 50% ya hiyo 8% iliongezwa na Magufuli kabla ya Magu ilikuwa chini zaidi, …
 
Hata yule waziri mkubwa wa mama chibonge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…