Rais Samia: Nagusa na Kubadili Mawaziri wote isipokuwa Biteko, anafanya kazi nzuri

Nimeshangazwa kuona Raisi wangu mpendwa akipokewa na Ngoma za Kirundi hapo Runzewe.

Hivi Wasumbwa Wasubi hawana Utamaduni, au ni pombe ndizo zimewachukua mpaka wanakuwa wavivu?

Jionee mwenyeweπŸ‘‡
 
Hivi wale waliokuwa wanamsagia sumu Biteko humu JF wa hali gani huko waliko? Ikiwemo yule mchumia tumbo wa Twitter ?nimeamini serikali haiendeshwi na mitandao , ina machinery yake ...
 
Wasumbwa na wasubi haya makabira wanawake zao wamebarikiwa mawowowo na urefu kama watutsi
 
Biteko ni Kiongozi aliyelelewa na kufundishwa nini maana ya uongozi ndani ya Chama na ndani ya Serikali ndiyo Maana Mhe.Rais Mama Samia Suluhu ameendelea kumuamini katika sekta ya Madini.Biteko unaupiga mwingi sana hongera.

shingamagaji

New Member
Joined Yesterday at 11:49 PM
 
Hivi wale waliokuwa wanamsagia sumu Biteko humu JF wa hali gani huko waliko? Ikiwemo yule mchumia tumbo wa Twitter ?nimeamini serikali haiendeshwi na mitandao , ina machinery yake ...
Biteco atakuja kuwa Rais wa hii nchi.minaona kabisa ni Rais miaka ijayo.
 
Biteco atakuja kuwa Rais wa hii nchi.minaona kabisa ni Rais miaka ijayo.
System ikimkubali hata haina haja ya kutabiri lakini isipomkubali hata awe mchapakazi bora kwa kiwango cha juu zaidi haitawezekana kamwe kuwa Rais, rejea kuhusu Waziri aliyetolewa sekta ya ardhi hivi karibuni.
 
Kuna mpuuzi fulani alikuja na Tetesi uchwara.
 
Sekta ya madini mchango wake usiwe less than 35% hii 8-10% bado ni utoporo tuseme madini bado yanatoroshwa kwa wingi kwenda nje ya Nchi? Mama awe macho na wasaidizi wake wanamzunguka
 
Biteko yupo vizuri sana na anafanya kazi yake vizuri sana
Anafanya Kazi kwenye wizara nyeti,huko zaidi ya kutatua migogoro ya wachimbaji wadogo kuna nini cha ziada?

Fanya Kazi kwenye sekta nyeti ndio tukupime kama Afya ,maji,Tamisemi,Barabara na Wizara ya mambo ya Ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…