Rais Samia: Nakataa Ombi la Mbunge Wa Kilwa Kusini, Ally Kisinge kuwaridhisha wapiga kura hata pasina na uhalisia

Mkunazi Njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2023
Posts
8,538
Reaction score
7,559
Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI.

Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg. Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB.

Mbunge huyo kama walivyo wabunge wengine ambao hupenda kufurahisha wapiga kura wao hata pasina ukweli wa maendeleo mtambuka ya maeneo yao.

Katika pwani hiyo ya Kilwa ,wavuvi wanaendelea na shughuli zao wakiwa na maeneo mtambuka ya kibiashara.

Mh.Rais SSH akitukumbusha kuwa tusipende migogoro na wawekezaji walio kisheria kwani maamuzi yoyote KANDAMIZI dhidi yao hupelekea msururu wa kesi mahakamani zinazopelekea serikali kushindwa na kulipa MAMILIONI YA FEDHA ZA WALIPA KODI.

Hili liwe funzo kwetu wananchi pamoja na wabunge wetu wapendwa[emoji120]

#Siempre JMT[emoji120]

#Mama Kaja[emoji7]

#Wananchi Na Mapenzi Makubwa Kwa Rais Samia[emoji2956]
 
Huyu mama ana kitu, fast learners wameshamuelewa tayari na wanaendelea kumuelewa. Walio bado ni wale very slow learners na wachache wenye wivu.
 
Kasema kwamba.....
Vichengerwa vingine viwili vipo pale nyumbani...😜
 
Huyu mama ana kitu, fast learners wameshamuelewa tayari na wanaendelea kumuelewa. Walio bado ni wale very slow learners na wachache wenye wivu.
Unajua kama Kuna mgao wa umeme?unajua kama cement sasa hivi bei yake ni tsh 17,500 Kwa Dar?
 
Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI.

Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg.Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB.

Mbunge huyo kama walivyo wabunge wengine ambao hupenda kufurahisha wapiga kura wao hata pasina ukweli wa maendeleo mtambuka ya maeneo yao.

Katika pwani hiyo ya Kilwa ,wavuvi wanaendelea na shughuli zao wakiwa na maeneo mtambuka ya kibiashara.

Mh.Rais SSH akitukumbusha kuwa tusipende migogoro na wawekezaji walio kisheria kwani maamuzi yoyote KANDAMIZI dhidi yao hupelekea msururu wa kesi mahakamani zinazopelekea serikali kushindwa na kulipa MAMILIONI YA FEDHA ZA WALIPA KODI.

Hili liwe funzo kwetu wananchi pamoja na wabunge wetu wapendwa[emoji120]

#Siempre JMT[emoji120]

#Mama Kaja[emoji7]

#Wananchi Na Mapenzi Makubwa Kwa Rais Samia[emoji2956]
Ugali moto
MTAMA moto
 
Darasa la mikutato ya Lissu kule kanda pendwa sasa limeanza kueleweka- somo la kuvunja mikataba kichwa kichwa Lina gharama ndefu na huko Miga pia - alisikika Mtu mmoja huko akisema
 
Yuko wapi Lissu?
 
Ila machawa sijui mliumbwa na moyo wa Aina gani sijui. Mlizaliwaga bila mishipa ya aibu eti?

Wakati Magu anatoa maamuzi ya kindezi kufurahisha wapiga kura na kuvunja mikataba kwa kutafuta sifa kiboya mlikuwa mnamsifu mno! Mama kageuka kuogopa kuvunja mikataba kufurahisha watu mnamsifu mno!

Asee nyie sio binadamu wa kawaida. Nyie ni spishi mpya duniani.
 
Yule msukuma alikua shetani,SSH ana hofu ya mungu
 
Mh.Rais Samia ameendelea kuwafundisha watanzania haki zao za kiraia....UKWELI UKWELI UKWELI.

Amelikataa ombi la mh.mbunge wa Kilwa Kusini ndg.Ally Kisinge la kulifuta eneo lililo zaidi ya kilomita moja kutoka pwani linalomilikiwa kisheria na kampuni ya kiwekezaji ya KILWA YARK CLUB.

Mbunge huyo kama walivyo wabunge wengine ambao hupenda kufurahisha wapiga kura wao hata pasina ukweli wa maendeleo mtambuka ya maeneo yao.

Katika pwani hiyo ya Kilwa ,wavuvi wanaendelea na shughuli zao wakiwa na maeneo mtambuka ya kibiashara.

Mh.Rais SSH akitukumbusha kuwa tusipende migogoro na wawekezaji walio kisheria kwani maamuzi yoyote KANDAMIZI dhidi yao hupelekea msururu wa kesi mahakamani zinazopelekea serikali kushindwa na kulipa MAMILIONI YA FEDHA ZA WALIPA KODI.

Hili liwe funzo kwetu wananchi pamoja na wabunge wetu wapendwa[emoji120]

#Siempre JMT[emoji120]

#Mama Kaja[emoji7]

#Wananchi Na Mapenzi Makubwa Kwa Rais Samia[emoji2956]
VP kuhusu DPW

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila machawa sijui mliumbwa na moyo wa Aina gani sijui. Mlizaliwaga bila mishipa ya aibu eti?

Wakati Magu anatoa maamuzi ya kindezi kufurahisha wapiga kura na kuvunja mikataba kwa kutafuta sifa kiboya mlikuwa mnamsifu mno! Mama kageuka kuogopa kuvunja mikataba kufurahisha watu mnamsifu mno!

Asee nyie sio binadamu wa kawaida. Nyie ni spishi mpya duniani.
Akili za wanaccm zaweza kuwa kivutio kikubwa cha utalii duniani
 
Kivutio cha kuchekesha lakini [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana, hujui kuwa duniani kuna watu wana upungufu wa kicheko? Yaani hawachekesheki la lolote, sasa wakiziona akili hizi za maccm lazima watacheka!
Wakijua iko hivyo watakuja tuu hapo ni [emoji385] [emoji385] tuu!
 
Kazi iendeleee.
Screenshot_20230921-120227.jpg
 
Huyu mama ana kitu, fast learners wameshamuelewa tayari na wanaendelea kumuelewa. Walio bado ni wale very slow learners na wachache wenye wivu.
Hamna kitu hapo, kwanza ye mwenyewe slow learner itakuwa nyie chawa wake??.
Ndege wafananao huruka pamoja!.
 
Kama yeye ni slow learner basi nyie haters a.k.a wachawi a.k.a wanga wake ni slower learners!!
 
Mh.Rais SSH akitukumbusha kuwa tusipende migogoro na wawekezaji walio kisheria kwani maamuzi yoyote KANDAMIZI dhidi yao hupelekea msururu wa kesi mahakamani zinazopelekea serikali kushindwa na kulipa MAMILIONI YA FEDHA ZA WALIPA KODI.
Jambo la kujifunza hapa ni kwamba serikali ikiingia mkataba mbovu na mwekezaji ijue ni vigumu kuchomoka, na inapojaribu kuchomoka kwa nguvu itapelekwa mahakamani na kushindwa kisha kulipa fidia ya mamilioni ya fedha
 
Back
Top Bottom