ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa
Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi,
Kuna uzembe na rushwa sana
1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria
Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui sheria
Inakuwaje mtu amekuja Tanzania ndani ya miezi 6 awe raia
Uraia wa TANZANIA umekuwa rahisi hivo?
Kuna tatizo Rais Samia chungulia huko
2. Kuna Raia wengi wa Kigeni
Inakuwaje TANZANIA Sasa imekuwa kama shamba la bibi
Raia wengi wa Rwanda wapo nchini na wanapata haki zote za raia ikiwemo kumiliki ardhi, kupiga kura, kugombea n. K
Uhamiaji mmelala mno
3Ukiritimba kwenye kutoa pasi za kusafiria
Hapa usipotoa chochote utasota hadi Dili lako la nje life
Mambo ni mengi ila mamlaka jaribu kuchunguza huko Uhamiaji