Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mujibu wa Sheria za Ardhi za Tanzania (Sheria Na. 4 & 5 za Mwaka 1999, Mtu ambaye siyo Raia wa Tanzania haruhusiwi kumiliki Ardhi nchini Tanzania isipokuwa kwa sababu za Matumizi ya Uwekezaji tu chini ya Sheria ya Uwekezaji Tanzania ya Mwaka 1997.Nani kasema asiyekuwa raia haruhusiwi kununuwa plot?
Kwa kweli mambo ya aibu kabisa kuhusu hili swala la wachezaji , nchi inakuwa kichaka tu ukija unapewa tu uraia , huyu kesho ataomba ubunge au kazi nyeti halafu anatuuza maana kiukweli hana uchungu na nchi na tumeeuhusu wenyewe kwa ujinga wetu na tamaa zetu za muda mfupiTumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa
Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi,
Kuna uzembe na rushwa sana
1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria
Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui sheria
Inakuwaje mtu amekuja Tanzania ndani ya miezi 6 awe raia
Uraia wa TANZANIA umekuwa rahisi hivo?
Kuna tatizo Rais Samia chungulia huko
2. Kuna Raia wengi wa Kigeni
Inakuwaje TANZANIA Sasa imekuwa kama shamba la bibi
Raia wengi wa Rwanda wapo nchini na wanapata haki zote za raia ikiwemo kumiliki ardhi, kupiga kura, kugombea n. K
Uhamiaji mmelala mno
3Ukiritimba kwenye kutoa pasi za kusafiria
Hapa usipotoa chochote utasota hadi Dili lako la nje life
Mambo ni mengi ila mamlaka jaribu kuchunguza huko Uhamiaji
Jambo hili Lina madhara hasi zaidi kwa nchi kuliko faida.Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa
Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi,
Kuna uzembe na rushwa sana
1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria
Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui sheria
Inakuwaje mtu amekuja Tanzania ndani ya miezi 6 awe raia
Uraia wa TANZANIA umekuwa rahisi hivo?
Kuna tatizo Rais Samia chungulia huko
2. Kuna Raia wengi wa Kigeni
Inakuwaje TANZANIA Sasa imekuwa kama shamba la bibi
Raia wengi wa Rwanda wapo nchini na wanapata haki zote za raia ikiwemo kumiliki ardhi, kupiga kura, kugombea n. K
Uhamiaji mmelala mno
3Ukiritimba kwenye kutoa pasi za kusafiria
Hapa usipotoa chochote utasota hadi Dili lako la nje life
Mambo ni mengi ila mamlaka jaribu kuchunguza huko Uhamiaji
Wazuri kwenye Nini?Inawezekana hao wachezaji ni wazuri sana kiasi ambacho wanastahili uraia haraka sana
Haruhusiwi, halafu isipokuwa!! Sasa ndio inakuwa.Kwa mujibu wa Sheria za Ardhi za Tanzania (Sheria Na. 4 & 5 za Mwaka 1999, Mtu ambaye siyo Raia wa Tanzania haruhusiwi kumiliki Ardhi nchini Tanzania isipokuwa kwa sababu za Matumizi ya Uwekezaji tu chini ya Sheria ya Uwekezaji Tanzania ya Mwaka 1997.
Tuko pamoja Mkuu, nakumbuka Sana hiyo scandal ya Meli, nimeuliza hivyo ili kujua labda hao wachezaji ni special sana uwanjani kiasi kwamba imebidi wapewe uraia haraka haraka , maaana sijaona sababu ya msingi ya kuwapa hao wachezaji uraiaWazuri kwenye Nini?
Kauli yako hii ni 'tungo tata.'
Usalama wa Umma kwanza, uzuri baadaye!
Public security must be given a top and the foremost priority.
Je, unakumbuka kwamba huko nje ya Tanzania ziliwahi kukamatwa Meli za mizigo zinazomilikiwa na mataifa ya nje lakini zilisajiliwa kiholela na Serikali yetu na meli hizo zilizopeperusha bendera ya Tanzania zilibeba shehena kubwa ya madawa ya kulevya aina ya bangi? Je, unakumbuka mkasa huo? Kutokana na kisa hiki, unafikiri 'image' ya Tanzania ipoje katika anga za kimataifa kuhusiana na masuala haya ya kiusalama????
Narudia tena kusema kwamba Raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki Ardhi nchini Tanzania isipokuwa kwa sababu za Uwekezaji tu chini ya Sheria ya Uwekezaji Tanzania ya Mwaka 1997.Haruhusiwi, halafu isipokuwa!! Sasa ndio inakuwa.
Ajabu ni pale mtanzania mwenyewe halisi anapohitaji hizo huduma kuzipata ni kazi. Kupata tu kitambulisho cha Taifa kazi. Hivi wanasheria hawezi kufungua kesi mahakamani kupinga uraia wa hawa watu? Tanzania ndo imebaki nchi pekee ambapo wakenya wanaona ni rahisi kupata documents za kiserikali kuliko nchini kwao. Nenda Arusha huko, njoo Dar Wasomali na wahindi wanavyopewa pasport kama wananunua machungwa kariakooTumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa