Ukiwaona unawajua mkuu? Ukweli hali ni mbaya sana niliwahi leta uzi hapa kuwa inakuwaje wafanyabiashara wa nchi jirani wanenda hadi mashambani kununua mazao.Watu wakasema mimi sio mkulima na nina waonea wivu wkulima niwaache wafaidike........Mimi huwa bnalima nynya na wateja wangu ni wanyarwanda wanakuja hadi shambani,wakenya na waganda vilevile hadi wanakambi na wengi wao hata passport hawana.
Yaani mtusi anakuja hajui hata kiingereza wala kiswahili na hawazi kabisa. warundi huku ni wengi vibaya mno kule kijiujni familia ninazo zofahamu zina warundi si chini6 na wanajiita waha uzuri waha wanajuana na warundi.Kipindi cha JK walisombwa sana wameenza kurudi kipindi cha jpm kwa uchache sana basi baada ya mama kuingia sasa hivi ni holela tu.waganda wanakuja hadi kijijini kununua mpunga na wanakuwa na kambi kabisa na wengine wanaoa na kuishi hapahapa nchini bila uraia wa nchi.
Kwa sasa tunaeza puzia haya lakini hapo badae tutajuta sana.
Wewe huwezi enda rwanda pale ukajenga hata kenya tu pale huwezi nunua ardhi ovyo ovyo kama wanavyonunua wao huku nenda mara na shinyanga uone wakenye wanavyo nunua ardhi hapa nchini.Ninacho kisema hapa nina uhakika nacho 1,000,000%