Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina sifa hiyo ya Watanzania.Unazeeka Na Ujinga wako wa Ujanani.
sawa, wewe mwenye akili za kujazwa ujinga, mimi sina akili hizo.Either umeambiwa ukweli ama una uccm ndani yako,mwenye akili hawezi sema maneno hayo
Nilikuwepo na nnaikumbuka. Ni heri wangefanikiwa siku ile, hii nchi iendeshwe kijeshi.Yaani wewe mtu mzima unajifanya punguani huelewi athari ya kuyahusisha majeshi na siasa!
Si unasema ulikuwepo mwaka 1964 Askari jeshi walipogoma Collto baracks siku hizi Ligalo; ulikiona Kisanga chake!!
Jeshi si la kulifanyia mzaha kwasababu hao mnaowanyanyasa kwa ufisadi wenu mpaka maisha yanakuwa magumu ni mama, baba, dada,kaka, wajomba wa hao Askari jeshi! Itafika mahala watawasmbia nyie watawala kuwa “ kama mbwai na iwe Mbwai “!
"Wachukuwe" ndo kiswahili Cha wapi hicho?Wachukuwe tu, si jeshi letu, kwani la kukodi?
Tatizo nini?
A woman is always a womansawa, wewe mwenye akili za kujazwa ujinga, mimi sina akili hizo.
Listen please
Ujumbe: mnalikaribisha JESHI kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka UKUU/UTUKUFU and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo.
Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa! Jiepushe na hilo
" Mkiwaingiza kwenye siasa,hamtawachomoa ila watawachomoa nyinyi"
View: https://www.youtube.com/watch?v=crfnMEP-jC0
Your mother is also a woman. Do not forget that.A woman is always a woman
Hicho wewe wakuja kiwache kama kilivyo, hicho siyo Kiswahili sanifu. Hicho Kiswahili asli."Wachukuwe" ndo kiswahili Cha wapi hicho?
Shuleni ulienda kusoma....- Faiza foxy.
Uislam ukiuchanganya na uCCM unakua Kondoo, Acha kimoja au vyote uwe mtu timamu bibi.Nimemsikiliza, anajifanya anajuwa kumbe hajuwi.
Ni ujinga wa Mtanzania huo.
Kondoo huwajuwi? usitake kuleta vichekesho.Uislam ukiuchanganya na uCCM unakua Kondoo, Acha kimoja au vyote uwe mtu timamu bibi.
Kikwete hadi kawa Rais. Lowassa hadi kawa Waziri Mkuu. Kinana hadi kawa Makamu Mwenyekiti CCM. Makamba hadi kawa Katibu Mkuu CCM.faiza, mnalikaribisha jeshi kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka ukuu and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo.
Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa!
Wewe wachana na mimi, jibu hpja zangu. Ulinifata mimi hapa JF?Bibi kizee uliwahi kuolewa kweli?
Acha ubwege fala wewe🖕Kondoo huwajuwi? usitake kuleta vichekesho.
na serikali inamuangalia tu...arghAnainadi tabia yake wakati wa magufuli/kile ambacho watu wanamtuhumu...kupoteza watu....ingelikuwa awamu ya tano kwa chuma.....angeliwamaliza/wangelimkoma.....ujumbe mbaya sana
Si limewagomea? Bado mnakaza fuvu?Nimemsikiliza, anajifanya anajuwa kumbe hajuwi.
Ni ujinga wa Mtanzania huo
Hapana, sivyo unavyosemaNimemsikiliza, anajifanya anajuwa kumbe hajuwi.
Ni ujinga wa Mtanzania huo.
Sikuelewi lugha yako.Si limewagomea? Bado mnakaza fuvu?