Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

Kikwete hadi kawa Rais. Lowassa hadi kawa Waziri Mkuu. Kinana hadi kawa Makamu Mwenyekiti CCM. Makamba hadi kawa Katibu Mkuu CCM.

Marehemu Komba na wengine hadi wamekuwa Wabunge na Mawaziri. Je, kuna tatizo wamefanya? Mi nadhani mjadala huu una lengo la kuamsha mashetani yaliyolala.
Hawa waliukana uanajeshi na hawakuwa na contacts kule.......jifunze kitu kutoka West Africa
 
Nilikuwepo na nnaikumbuka. Ni heri wangefanikiwa siku ile, hii nchi iendeshwe kijeshi.

Wakuwalaumu ni Waislam wawili waliozuwia tukio lile, Kitwana Kondo na Kanal Kashmir.
Sasa unataka hayo mambo yajirudie safari hii wafanikiwe?
Nyie washauri wa mama Abdul mpeni onyo kuwa asicheze na sharubu za wanajeshi ni hatari!!
 
Sasa unataka hayo mambo yajirudie safari hii wafanikiwe?
Nyie washauri wa mama Abdul mpeni onyo kuwa asicheze na sharubu za wanajeshi ni hatari!!
Kikwete mbona ni mwanajeshi na kaiendesha nchi vizuri kuliko Rais mwengine yeyote:

1706121096053.png
 
Kikwete mbona ni mwanajeshi na kaiendesha nchi vizuri kuliko Rais mwengine yeyote:

View attachment 2881887
Kikwete ni mwanajeshi wa uniform (political commissar) sio mwanajeshi wa mapambano!!
Enzi ya utawala wake nchi ili nuka rushwa na biashara ya madawa ya kulevya iliyomuhusisha mpaka mwanae Ridhwani!! Halafu unasema aliendesha nchi vizuri?
Vasco Dagama was a corrupt president; kama swahiba wake Zuma.
 
Mimi natamani wanajeshi wangetawala hii nchi hata kuanzia leo.
 
Back
Top Bottom