Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

Nilikuwepo na nnaikumbuka. Ni heri wangefanikiwa siku ile, hii nchi iendeshwe kijeshi.

Wakuwalaumu ni Waislam wawili waliozuwia tukio lile, Kitwana Kondo na Kanal Kashmir.
 
Umeongea point mwanzo Hadi mwisho
 
"Wachukuwe" ndo kiswahili Cha wapi hicho?

Shuleni ulienda kusoma....- Faiza foxy.
Hicho wewe wakuja kiwache kama kilivyo, hicho siyo Kiswahili sanifu. Hicho Kiswahili asli.
 
faiza, mnalikaribisha jeshi kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka ukuu and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo.
Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa!
Kikwete hadi kawa Rais. Lowassa hadi kawa Waziri Mkuu. Kinana hadi kawa Makamu Mwenyekiti CCM. Makamba hadi kawa Katibu Mkuu CCM.

Marehemu Komba na wengine hadi wamekuwa Wabunge na Mawaziri. Je, kuna tatizo wamefanya? Mi nadhani mjadala huu una lengo la kuamsha mashetani yaliyolala.

Ova
 
Bibi kizee uliwahi kuolewa kweli?
Wewe wachana na mimi, jibu hpja zangu. Ulinifata mimi hapa JF?

Kama unataka kunitongoza kuna uzi spesho wa kunitongoza tu, usiharibu mjadala wa watu kwa kuleta yako mapya humu.
 
Mimi naona huyu bibi anachotaka ni kumiliki majeshi kisha kuiedesha nchi kifalme, ila hii itamtokea puani atakua sample mbaya sana pale ccm, awe mpole awamu yake iishe huu mchezo awaachie wahuni hauwezi.
 
Anainadi tabia yake wakati wa magufuli/kile ambacho watu wanamtuhumu...kupoteza watu....ingelikuwa awamu ya tano kwa chuma.....angeliwamaliza/wangelimkoma.....ujumbe mbaya sana
na serikali inamuangalia tu...argh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…