Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

Hawa waliukana uanajeshi na hawakuwa na contacts kule.......jifunze kitu kutoka West Africa
 
Nilikuwepo na nnaikumbuka. Ni heri wangefanikiwa siku ile, hii nchi iendeshwe kijeshi.

Wakuwalaumu ni Waislam wawili waliozuwia tukio lile, Kitwana Kondo na Kanal Kashmir.
Sasa unataka hayo mambo yajirudie safari hii wafanikiwe?
Nyie washauri wa mama Abdul mpeni onyo kuwa asicheze na sharubu za wanajeshi ni hatari!!
 
Sasa unataka hayo mambo yajirudie safari hii wafanikiwe?
Nyie washauri wa mama Abdul mpeni onyo kuwa asicheze na sharubu za wanajeshi ni hatari!!
Kikwete mbona ni mwanajeshi na kaiendesha nchi vizuri kuliko Rais mwengine yeyote:

Kikwete mbona ni mwanajeshi na kaiendesha nchi vizuri kuliko Rais mwengine yeyote:

View attachment 2881887
Kikwete ni mwanajeshi wa uniform (political commissar) sio mwanajeshi wa mapambano!!
Enzi ya utawala wake nchi ili nuka rushwa na biashara ya madawa ya kulevya iliyomuhusisha mpaka mwanae Ridhwani!! Halafu unasema aliendesha nchi vizuri?
Vasco Dagama was a corrupt president; kama swahiba wake Zuma.
 
Mimi natamani wanajeshi wangetawala hii nchi hata kuanzia leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…