mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wanakatakata mauno tuudsm imekuwa kama shule ya kata.
Hakuna midahalo.
Hakuna ushauri
Hakuna kukosoa hata kushauri
Hata hiyo mikataba yao ilitakiwa ichambuliwe pale.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakatakata mauno tuudsm imekuwa kama shule ya kata.
Hakuna midahalo.
Hakuna ushauri
Hakuna kukosoa hata kushauri
Hata hiyo mikataba yao ilitakiwa ichambuliwe pale.
Badson tuletee jibu kamili.Hawa OCCULTISTS ni watu wa namna gani?
Sio kwa ubaya wala chuki na Rais Mstaafu Kikwete hapana mimi nakupenda na heshima yako ipo pale pale. Lakini Mkuu naomba uachie hiyo nafasi kwani wewe sio mtu sahihi kushika cheo kama hicho.
Toka umeteuliwa hiyo nafasi mkuu kila mtu alijua kuwa UDSM inaenda kufa na kweli chuo chetu pendwa ndiyo basi tena umekiua. Baadhi wanajua wewe ni recruiter hapo UDSM na hiyo nafasi upo nayo very strategic.
Mimi nilijua wewe na vice chancellor wako mgeachia madaraka baada ya ile video ya mwanafunzi kufanyiwa black mail na kumuonyesha akijiekeza chupa lakini hamkujali kwasababu hamna moral authority yoyote.
Mama Samia tafadhali sana mpangie Mheshimiwa Kikwete majukumu mengine naomba sana na hapo UDSM wawekwe watu ambao ni EDUCARE and EDUCERE. Tazama mwanafunzi bora amechaguliwa msanii mpiga kinanda? What a shame;
Jenerali Ulimwengu amezungumza kwa uchungu sana sema kwa nafasi yake hawezi kusema tatizo ni Kikwete hapo chuoni. Ni bora Mheshimiwa Rais ikikufaa uondoe siasa na elimu ya juu kwani vyuoni tunazalisha wajinga na wazinzi tuu tazama watoto wa filed makazini hawajui kitu.
Au ni kweli mnaanda watoto wenu wawe watawala na watoto wetu wawe watumwa? Chuo cha UDSM kimekuwa extended high school hakuna cha maana pale zaidi ya mavazi ya kipumbavu na kuzunguka zunguka changanyikeni na savey pamoja na mlimani city.
Tunaomba utuwekee watu ambao ni serious tena watu wakawaida tuu ambao sio OCCULTISTS.