Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka,
3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma zitazorota,
4. Uwekezaji kutoka nje ya Tanzania utapungua,
5. Misaada na mikopo itapungua sana,
6. Vikwazwo vya kiuchumi na kidiplomasia vitawekwa dhidi ya Tanzania,
7. Na kadhalika.
Ikiwa tutaahirisha uchaguzi kupisha mchakato wa mabadiliko ya Katiba,manufaa yafuatayo yatapatikana;
1. Gharama ya kuendesha uchaguzi ya kiasi cha takribani trilioni Moja itaokolewa na kuelekezwa kwenye matumizi mengine,
2. Imani ya vyama vya upinzani,mashirika ya kijamii ya ndani na nje,madhehebu ya dini na Jumuiya ya kimataifa itarudi,
3. Amani ndani ya nchi itatamalaki,
4.Uchumi wa nchi utaendelea kustawi,
5. Watalii wataendelea kuja nchini ( tofauti na tulivyokosa watalii zaidi ya elfu tano waliotaka kuja Zanzibar,kufanyia mkutano wa wanasheria wa Afrika Mashariki ,lakini baadaye wakahamishia nchi nyingine),
6. Mhe,Rais mwenyewe ataongoza nchi kwa amani na utulivu na hivyo kumsababishia utulivu wa moyo wake,kinyume na sasa anavyoonekana hana amani ya moyo.
Mhe,Rais,naomba nisikuchoshe.Lakini naomba uzingatie ushauri huu na mwingine wote wa watu wengine unaofanana na huu.