Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,366
- 1,770
Chura kiziwi mhiiKama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka,
3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota,
4. Uwekezaji kutoka nje ya Tanzania utapungua,
5. Misaada na mikopo itapungua sana,
6. Vikwazwo vya kiuchumi na kidiplomasia vitawekwa dhidi ya Tanzania,
7. Na kadhalika.
Ikiwa tutahirisha uchaguzi kupisha mchakato wa mabadiliko ya Katiba,manufaa yafuatayo yatapatikana;
1. Gharama ya kuendesha uchaguzi ya kiasi takribani trilioni Moja itaokolewa na kuelekezwa kwenye matumizi mengine,
2. Imani ya wapinzani,mashirika ya kijamii ya ndani na nje,madhehebu ya dini na Jumuiya ya kimataifa itarudi,
3. Amani ndani ya nchi itatamalaki,
4.Uchumi wa nchi utaendelea kustawi,
5. Watalii wataendelea kuja nchi ( tofauti na tulivyokosa watalii zaidi ya elfu Tano waliotaka kuja kufanyia mkutano wa wanasheria Zanzibar,lakini baadaye wakahamishia nchi nyingine),
6. Mhe,Rais mwenyewe ataongoza nchi kwa amani na utulivu na hivyo kumsababishia utulivu wa moyo wake,kinyume na sasa anavyoonekana hana amani ya moyo.
Mhe,Rais,naomba nisikuchoshe.Lakini naomba uzingatie ushauri huu na mwingine wote wa watu wengine unaofanana na huu.
https://www.facebook.com/Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka,
3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma zitazorota,
4. Uwekezaji kutoka nje ya Tanzania utapungua,
5. Misaada na mikopo itapungua sana,
6. Vikwazwo vya kiuchumi na kidiplomasia vitawekwa dhidi ya Tanzania,
7. Na kadhalika.
Ikiwa tutaahirisha uchaguzi kupisha mchakato wa mabadiliko ya Katiba,manufaa yafuatayo yatapatikana;
1. Gharama ya kuendesha uchaguzi ya kiasi cha takribani trilioni Moja itaokolewa na kuelekezwa kwenye matumizi mengine,
2. Imani ya vyama vya upinzani,mashirika ya kijamii ya ndani na nje,madhehebu ya dini na Jumuiya ya kimataifa itarudi,
3. Amani ndani ya nchi itatamalaki,
4.Uchumi wa nchi utaendelea kustawi,
5. Watalii wataendelea kuja nchini ( tofauti na tulivyokosa watalii zaidi ya elfu tano waliotaka kuja Zanzibar,kufanyia mkutano wa wanasheria wa Afrika Mashariki ,lakini baadaye wakahamishia nchi nyingine),
6. Mhe,Rais mwenyewe ataongoza nchi kwa amani na utulivu na hivyo kumsababishia utulivu wa moyo wake,kinyume na sasa anavyoonekana hana amani ya moyo.
Mhe,Rais,naomba nisikuchoshe.Lakini naomba uzingatie ushauri huu na mwingine wote wa watu wengine unaofanana na huu.
Mlikuwa wapi kumshauri haya muda mrefu??? Mnategea uchaguzi miezi michache ijayo mnaanza kutaka kutuvurugia maisha!Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka,
3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma zitazorota,
4. Uwekezaji kutoka nje ya Tanzania utapungua,
5. Misaada na mikopo itapungua sana,
6. Vikwazwo vya kiuchumi na kidiplomasia vitawekwa dhidi ya Tanzania,
7. Na kadhalika.
Ikiwa tutaahirisha uchaguzi kupisha mchakato wa mabadiliko ya Katiba,manufaa yafuatayo yatapatikana;
1. Gharama ya kuendesha uchaguzi ya kiasi cha takribani trilioni Moja itaokolewa na kuelekezwa kwenye matumizi mengine,
2. Imani ya vyama vya upinzani,mashirika ya kijamii ya ndani na nje,madhehebu ya dini na Jumuiya ya kimataifa itarudi,
3. Amani ndani ya nchi itatamalaki,
4.Uchumi wa nchi utaendelea kustawi,
5. Watalii wataendelea kuja nchini ( tofauti na tulivyokosa watalii zaidi ya elfu tano waliotaka kuja Zanzibar,kufanyia mkutano wa wanasheria wa Afrika Mashariki ,lakini baadaye wakahamishia nchi nyingine),
6. Mhe,Rais mwenyewe ataongoza nchi kwa amani na utulivu na hivyo kumsababishia utulivu wa moyo wake,kinyume na sasa anavyoonekana hana amani ya moyo.
Mhe,Rais,naomba nisikuchoshe.Lakini naomba uzingatie ushauri huu na mwingine wote wa watu wengine unaofanana na huu.
Hapo unataka kukosana na wanaccm wewe...Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka,
3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma zitazorota,
4. Uwekezaji kutoka nje ya Tanzania utapungua,
5. Misaada na mikopo itapungua sana,
6. Vikwazwo vya kiuchumi na kidiplomasia vitawekwa dhidi ya Tanzania,
7. Na kadhalika.
Ikiwa tutaahirisha uchaguzi kupisha mchakato wa mabadiliko ya Katiba,manufaa yafuatayo yatapatikana;
1. Gharama ya kuendesha uchaguzi ya kiasi cha takribani trilioni Moja itaokolewa na kuelekezwa kwenye matumizi mengine,
2. Imani ya vyama vya upinzani,mashirika ya kijamii ya ndani na nje,madhehebu ya dini na Jumuiya ya kimataifa itarudi,
3. Amani ndani ya nchi itatamalaki,
4.Uchumi wa nchi utaendelea kustawi,
5. Watalii wataendelea kuja nchini ( tofauti na tulivyokosa watalii zaidi ya elfu tano waliotaka kuja Zanzibar,kufanyia mkutano wa wanasheria wa Afrika Mashariki ,lakini baadaye wakahamishia nchi nyingine),
6. Mhe,Rais mwenyewe ataongoza nchi kwa amani na utulivu na hivyo kumsababishia utulivu wa moyo wake,kinyume na sasa anavyoonekana hana amani ya moyo.
Mhe,Rais,naomba nisikuchoshe.Lakini naomba uzingatie ushauri huu na mwingine wote wa watu wengine unaofanana na huu.
Iwapo mama atakubali kubadili katiba na sheria bado anaweza kushinda uchaguzi ila atakosa wabunge wengi.Na kama hatashinda ajue ni maamuzi ya wananchi waliomwajiriKama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka,
3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma zitazorota,
4. Uwekezaji kutoka nje ya Tanzania utapungua,
5. Misaada na mikopo itapungua sana,
6. Vikwazwo vya kiuchumi na kidiplomasia vitawekwa dhidi ya Tanzania,
7. Na kadhalika.
Ikiwa tutaahirisha uchaguzi kupisha mchakato wa mabadiliko ya Katiba,manufaa yafuatayo yatapatikana;
1. Gharama ya kuendesha uchaguzi ya kiasi cha takribani trilioni Moja itaokolewa na kuelekezwa kwenye matumizi mengine,
2. Imani ya vyama vya upinzani,mashirika ya kijamii ya ndani na nje,madhehebu ya dini na Jumuiya ya kimataifa itarudi,
3. Amani ndani ya nchi itatamalaki,
4.Uchumi wa nchi utaendelea kustawi,
5. Watalii wataendelea kuja nchini ( tofauti na tulivyokosa watalii zaidi ya elfu tano waliotaka kuja Zanzibar,kufanyia mkutano wa wanasheria wa Afrika Mashariki ,lakini baadaye wakahamishia nchi nyingine),
6. Mhe,Rais mwenyewe ataongoza nchi kwa amani na utulivu na hivyo kumsababishia utulivu wa moyo wake,kinyume na sasa anavyoonekana hana amani ya moyo.
Mhe,Rais,naomba nisikuchoshe.Lakini naomba uzingatie ushauri huu na mwingine wote wa watu wengine unaofanana na huu.
Kwani wabunge wengi hadi sasa wako bungeni kwa ridhaa yetu?Mlikuwa wapi kumshauri haya muda mrefu??? Mnategea uchaguzi miezi michache ijayo mnaanza kutaka kutuvurugia maisha!
Subirini ashinde uchaguzi, mambo mengine atashughulikia akiwa Ikulu! Michakato ianze kuanzia akiingia ofisini rasmi!
Uchaguzi usipofanyika, kuna waheshimiwa wabunge waliochoka wataendelea kuwepo bungeni bila ridhaa yetu!
Maoni aliyotoa huyo kiongozi Wala siyo mabaya.Hakuna haja ya kumshinikiza ajiuzulu kama inavyofanyika Sasa.
Ndiyo maana ya freedom of speechMaoni aliyotoa huyo kiongozi Wala siyo mabaya.Hakuna haja ya kumshinikiza ajiuzulu kama inavyofanyika Sasa.