Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,652
- 2,273
Huyo niga nini sijui, ndo bure kabisa! Lakini Mazaa ana heshima yake kwa watu wengi, na tunazikubali move zake! Kama hawajui tulifika mahali tukatamani JK arudi, maombi yamejibiwa!Na wenye ambao wamekuwa wakimtukana mama mitandaoni wanaongozwa na Musiba (Veronica France FB, nigastratact kwa hapa JF)
Tanzania, imeisha hamasisha sana FDI, toka wakati wa Mzee Rukhsa, tukipata Sheraton, iliyokuwa inabadilika majina kila baada ya miaka 5, ikajaBet group wakati wa Mkapa na mengineyo, ukaja wakati wa Boys to Men tukafikiria nchi itabadilika kuelekea uamerika amerika hivi na tukapata mikataba ya madini, gas nk,, kwa hiyo suala kwetu si FDI bali uadilifu wa viongozi ndio changamoto, hizi fdi ni njia ya kupitia kufikia malengo, yasiyo ya wananchiMi nadhani haya mambo tunachanganya madesa au tunajisumbua bure!!
Mama Samia sio kwamba anabadili sheria bali anahamasisha FDI! Hata hao USA, EU na Uchina bado wanazitafuta FDI! Kuna wakati Canada ukionesha financial ability, na unafanya biashara, fasta wanakupa Resident Permit ili mradi tu kuvutia FDI!
Na watu wanapohamasisha Foreign Direct Investments haimaanishi Watanzania wanatupwa nje ya ulingo wa uwekezaji! Na wenyewe wapo, na ndio maana Samia anataka pia kukutana na local business community!
Sasa kama Mtanzania anataka kumiliki na kuliendesha kibiashara shamba kubwa hakuna atakayemzuia ili mradi tu asifanye mtindo wa akina Mo Dewji wanaomiliki maelfu ya ekari lakini badala ya kuzitumia kwa shughuli kusudiwa, anatumia kwenda kuombea mikopo NJE!
Na hata huko kwenye umiliki wa viwanda, as of now, Samia atatumia sheria zile zile alizokuta! Kama sheria zinasema 51% inabidi imilikiwe na m-TZ basi ndo itakuwa hivyo hadi pale tutakaposikia sheria zimebadilishwa!
Hata hivyo, huwezi kuweka fixed 51% kwa sababu, tuchukulie tu kile kiwanda cha kusindika gas kule Lindi! By 2015, kilitarajiwa kingegharibu USD 30 Billion!
Tajiri namba 1 wa Tanzania HANA hata 10% ya hiyo USD 30 Billion, na ndo maana sehemu kama hiyo ni serikali ndiyo inatakiwa kuingia!
Nafahamu ni maeneo wanakojenga viwanda, na watu hawaruhusiwi kujenga kwa ajili ya athali za viwandani, nayo fahamu ni moja tu la Mwanza Nyakato Steel ukienda kutafuta kazi viwanda vimeongozana, ila mikoa mingine sijui Kama Wana maeneo ya viwanda maana huwa naona watu wanalalamika viwanda vipo maeneo yao.'Industrial parks' ni eneo gani hilo...
We jifanye tu kwamba hamnazo lakini ukitulia ukiwa peke yako unawaza sina shaka hicho ndicho kinachowafanya muwaye waye!!! Au unadhani tumesahau mlivyokuwa mnamtolea povu CAG kwamba ametumwa ili kuharibu legacy ya JPM!embu onyesha anayejaribu kuipambania legacy isiyopo ya magufuli[emoji1787][emoji1787][emoji1787],wacha sarakasi bana.
Hapa ulikuwa unajaribu kusema nini!! Wewe uliuliza sababu, na nimekupatia! Na nimekuonesha haikuwa Tanzania peke yake bali hata UG!eh vipi cheti cha mahindi kimetolewa au ndio yale ya corona na rushwa ya mafiisa uhamiaji kenya!!!
ww unapima au unahesabu kasafir mara ngapi?safari za ndege zinapimwa kwa masaa.
sawa askari kanzu???
Hivi vitu vinatakiwa kwenda pamoja ndio maana kuna Maneno kama urari wa biashara kati ya A na B ni fulani. Nafikiri kwa haya maneno Machache utakuwa umeelewa.Wataalmu wetu nao wengine wajinga tu kila kitu wanachuklulia high level tuu ya wafanyabiashara wakubwa wanasahau hao wadogo ambao ndio wengi
Hicho kiwango cha chini wananchi walio wengi wa chini ndio wanakitaka nyie ma mibichwa yenu ya juu bakini hukohuko juu
Sometimes mnakera ndio maana na usomi wenu unakuta hadi akina Msukuma darasa la saba wanawazomea bungeni sababu you dont stand with a common man!!! MNAWAZA JUU WEEEEEEE HADI MNASAHAU KUWA CHINI HUKO KUNA MAJORITY ambao fursa hizo ndogo ndogo alizofungua Kenyatta zingewasaidia hao watu wa chini .Mnawza Macro tu mnasahau Micro
Mtu wa chini naye mwenye tenga moja naye anatakiwa apewe fursa auze tenga lake pia ana familia naye inamtegemea
Usomi wenu tatizo kubwa kwa watu wa kawaida
Kweli kabisa, Wazalendo walizoea propaganda. Uchumi ni kanuni na mama anazifuataSie tunaojua principle za uchumi tunaona kabisa maza anatupeleka nchi ya ahadi.
Ambaye hatainuka tena ni Magufuli.kwa sasaHuyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Kwani sasa hivi tumejifungia?? mbona kuna mbao na hayo Mahindi yanaenda kenya na waowanaleta bidhaa zao kama blue band , kuna pilsner, na pia tuna nunua na kuuza toka nchi nyingine zaidi ya watani zetu wa jadi. Iwe EU, USA, China, USSR, India, UAE n.k n.k... labda unashauri nini Mkuu; tuendelee kujifungia? Tuendelee kujitenga na wengine? Tuendelee kuwa kisiwa? Kama terms and conditions hazikutiliwa mkazo enzi za JK wa 2; let's trust she will act differently.
una kipaji cha kuandika magazeti.We jifanye tu kwamba hamnazo lakini ukitulia ukiwa peke yako unawaza sina shaka hicho ndicho kinachowafanya muwaye waye!!! Au unadhani tumesahau mlivyokuwa mnamtolea povu CAG kwamba ametumwa ili kuharibu legacy ya JPM!
Hapa ulikuwa unajaribu kusema nini!! Wewe uliuliza sababu, na nimekupatia! Na nimekuonesha haikuwa Tanzania peke yake bali hata UG!
Kama ungetaka nieleze from trade perception ningekueleza ilichokuwa imefanya KE kwa TZ ni jambo la kawaida kati ya nchi na nchi linapokuja suala la hostility towards one another!!
When it comes to trade hostility, hata Mzee wa Msoga anayeonekana alikuwa ni mtu wa kuruhusu ruhusu hata yeye alikuwa anafanya!
I think 2013 or 2014, Kenya walizuia magari ya Watalii kuingia nchini humo, JK akaagiza Mamlaka ya Anga ipige pini zaidi ya nusu ay safari za Kenya Airways in Tanzania!
Hii hostility ikamalizwa baada ya JK kukutana na Uhuru nchini Namibia... so, kama nilivyokuambia awali, nothing personal, it's trade!
So, kuwa specific uliuliza suala la mahindi ukijaribu kujenga hoja ipi hasa?!
Kwa hiyo Mwl, Mzee Ruksa, JK na Che Nkapa na JPM hawakufuata hizo kanuniKweli kabisa, Wazalendo walizoea propaganda. Uchumi ni kanuni na mama anazifuata
Ukisikia kuwaya waya ndo huku!! Wapi nimemtaja Assad?! Au unajisahalisha na hii ripoti ya karibuni ya CAG?! Au na yenyewe ilitolewa na Assad?!una kipaji cha kuandika magazeti.
ni mjinga peke yake ataamini CAG alikuwa anasimamia taratibu za kazi,nikuweke kundi hilo???afadhali asad hakuangalia nagsi yake bali kazi inamtaka afanye nini.
Kwani mara ngapi Tanzania tumewahi kuzuia bidhaa za Kenya?!anyway hoja yangu ilikuwa utumie akili.
kama mahindi yalikuwa na sumu,imeondoka baada mama kwenda huko juzi??
Una safari ndefu ya kufahamu how international trade works!! Narudia, nothing personal, it's business (trade)! Duniani kote yanatokea na kusawazishwa bila kujali nani alianza!!!hao watu kama ulivyosema hata jk aliishatoshana nao misuli kwa upuuzi wao,sasa nikuulize wewe. mama yenu anakwenda kurekebisha nini ikiwa hata mentor wake aliishavurugana nao!!!unadhani lugha ya jpm walikuwa hawaielewi???
walikuwa wanaielewa sana,ndio sababu walikuwa wa kwanza kuanza vituko na wa kwanza kumaliza pia.
Ila mimi kwa mtazamo wangu nahisi kundi la ccm lina nguvu kuliko icho kiti cha u-rais.
Ingekuwa tunatumia majina yetu halisi hapa, am certain angalau watu 100 wangekuwa na kesi za "kumtukana malaika"!!we mbuzi kweli,hapa jf umekuja leo???
watu wanamtulana mwendazake kila walipojisikia.
Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Watu wamenuna hao... yaani hawataki tushirikiane na Kenya kwa sababu tu JPM hakutaka ushirikiano mwema nao!!Toa loki... Toa loki... Toa! π°πͺ + πΉπΏ =Prosperity(πππΎπ»ποΈπ»ποΈπ₯ππ£οΈβ½π₯οΈπ’βοΈ)
Kama tumeweza kuinuka alipotupeleka mwendazake sembuse mamaHuyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.