richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,023
Unaukataa ukwel huyu mama anatupeleka wap?Ushamba wako tu, shida mmezoea ubabe wa kizamani, Uchumi ni kanuni na mama anazifuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaukataa ukwel huyu mama anatupeleka wap?Ushamba wako tu, shida mmezoea ubabe wa kizamani, Uchumi ni kanuni na mama anazifuata
Na wewe si uuze unemeke?Na madawa ya kulevya yameshafunguliwa!
Wauza ngada wataneemeka mno!
Riziwani anakenua sasa hivi....
Mawazo ya kimasikini, jiamini.Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Bora tuimbe wote awamu ya tano tulikuwa tunaimba peke yetu.Mungu atupe uhai, tutakuja imba wimbo mmoja siku hizo.
mbona niki click zinakuja heading za forumsRais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi akisema, "Mmekuwa mkinitukana sana kwenye mitandao! Unakwenda kubomoa yaliyojengwa kwa muda mrefu"
Akizungumza na Wafanyabiashara wa Tanzania Nchini Kenya Mei 05, 2021 Rais amesema anaamini hakuna Nchi inayoendelea ikiwa peke yake
Ameeleza, anajiandaa kufanya mkutano na Sekta Binafsi kuzungumzia kero mbalimbali zikiwemo za Kodi, Vibali vya Kazi (Work Permits), kuchelewa kupata ardhi kwenye Uwekezaji ili kuona namna ya kuziondoa
Rais amesema maeneo ya kujenga Uchumi yapo lakini mchakato umekuwa ukienda polepole, akitolea mfano eneo la "Industrial Parks" alilosema haoni sababu kwanini zinazuiwa
Msikilize hapa:
Wataalmu wetu nao wengine wajinga tu kila kitu wanachuklulia high level tuu ya wafanyabiashara wakubwa wanasahau hao wadogo ambao ndio wengiNdio tatizo lililopo ni wana siasa kuamua kwenye mambo technical , yeye akiombwa kitu kama alivyo waambia chato kuwa mkoa kuna vigezo, ya Kenya au EA nk kabla ya kwenda kutoa Maneno yake ni vizuri akaka na wataalamu wakamuelimisha akapata vitu vya kuongea vya kukaribisha wawekezaji na pia kuwa sisitizia win win situation.
Mfano suala la Uhuru la wa Tz kufanya kazi biashara nk Kenya litabaki katika kiwango cha chini kwa sababu uwezo wa wa Tz kupeleka bidhaa Kenya ni mdogo mfano nyanya na mboga mboga unahitaji refrigerated Van/Lorry, sio Tenga kwenye basi, lingine ni outlet ambayo MTz kuipata Kenya ni ngumu, lakini wao kwetu zipo tena wanaweza hata kukuondoa wewe mzawa
Still ningeiona kwenye notification!
Usimlinganishe na mimi, mlinganishe na wewe kwa sababu yeye anaamini milango haikuwa wazi lakini wewe unaamini kinyume chake, ingawaje umekiri kwamba "haikufungwa rasmi"!
Na kama hiyo legacy ipo kweli, sasa mnatapa tapa nini? And as far as I know, NO ONE, I repeat, NO ONE can destroy someone's true legacy! Na true legacy haipaganiwi kwa sababu hata watu wakijifanya hawaoni, bado itachomoza!!
Pamoja na ukweli huo, bado sie wengine tunabaki kushangaa mnavyoipigani the so-called legacy ya JPM... sounds like haipo lakini mnalazimisha watu waione!!
Halikuwepo hilo swali!
Kwanza, don't take it personal... KE hawakuzuia mahindi ya TZ peke yake bali na ya UG vile vile kwa hoja kwamba mahindi kutoka nchi hizo yana viwango vya sumu amabvyo vina athari kwa maisha ya binadamu!
And remember, "zuio" hilo halikuwa limetolewa na serikali kuu bali na The Agriculture and Food Authority... ni kama TFDA ya Tanzania inapopiga marufuku baadhi ya bidhaa kutoka huku na kule!!
Hata hivyo, takribani wiki moja baadae, Waziri wa Kilimo wa KE akasema KE haijazuia uingizwaji wa mahindi bali inachotaka ni mahindi kutoka nchi hizo yawe yana cheti kinachoonesha mahindi yao yapo free from toxic!!
EU: ujerumani ikijitoa EU inakufa.tanzania ni nchi inayohitajika kuliko inavyohitaji muungano huu.
mara zote imeact kama kiunganishi inaposita hakuna nchi inayoendelea na mipango ya kuungana tena.
unlike kwa hao UK unaowazungumzia hapa.
mimi sio mfuasi wa chama,bali itikadi.Sasa mbona wewe Mwana CCM (mfuasi wa Jiwe) Unaiponda serikali hiyohiyo ya CCM?
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Wafuasi wa Jiwe jiweni . Tuliposema madaraka ya u Rais yadhibitiwe mlititukana . Acha wote tulie. Kitakuja kizazi chenye akili watarekebishaHuyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Du! [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mama kwa miezi miwili hii amefanya mambo mengi yaliyomshinda JPM kwa miaka mitano.
Sasa hivi mama a deal na masalia ya Jiwe mbona simple hiyo.Pumbavu sana hawa yaani yalikuwa yanajineemesha na jasho letu huku yakituvurugia biashara zetu shenzi sanaVunjilia mbali masalia ya Jiwe mwovu yule ibilisi.
... labda unashauri nini Mkuu; tuendelee kujifungia? Tuendelee kujitenga na wengine? Tuendelee kuwa kisiwa? Kama terms and conditions hazikutiliwa mkazo enzi za JK wa 2; let's trust she will act differently.Terms and conditions zilikuwepo hata wakati wa JK wa 2
Basi sawa, fungulia kila k2 then tupate mafuriko ya wawekezaji hapa TZ
... wazee wa legacy fake Mkuu! Hawaamini mambo muhimu Mama aliyoyafanya ndani ya muda mfupi tangu akalie kiti. At least furaha imerejea nchini kwao ni uchungu kweli kweli wazee wa visasi!
Basi itapanda zaidi.