Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni lini milango ya biashara ilifungwa rasmi???Akifeli au mnaombea afeli?!
Nimekuuliza kuna ubaya upi kwa Samia kama Rais kutaka kuongea na business community, na kufungua milango ya biashara?
Sina kawaida ya kutojibu post, na wala sijaona hiyo post yako kuhusu mahindi... weka hapa!!!
Post zako 3 za mwisho ni:-
Sasa unaniuliza habari za makada wa chama wakati post yangu haikuhusiana na habari za makada?
Na kama anatekeleza ya wenzake, kwanini mupige mbinje na matarumbeta ya kwamba yeye ndie kiongozi bora wakati hakuna cha maana alichowahi kuasisi?
Post yako nyingine ni hii:-
Mara ya kwanza nilikuambia wewe ndo wale wanaodhani urais wa JPM ni wa Wasukuma wote kwa sababu ulionekana unawafahamu sana Wasukuma kuliko Wakwere?!
Lakini uliposema wewe Mhehe, wala sikuendelea kusema wewe ni Msukuma... sasa ulikuwa na sababu ipi ya kusisitiza kwamba "...nimekuambia mimi ni mhehe" wakati post yangu ilikuwa inasema:-
Hiyo post unaona inakulenga wewe?
Lakini sitaki kuwa mnafiki... WEWE HUONGOZWI NA ITIKADI BALI NI MFUASI WA MTU!! Anayeongozwa na itikadi hawezi kupinga kila kinachofanywa na rais aliyetoka chama kile kile!!! Na wengi wa aina hii ni watu wa kanda maalumu ingawaje wapo wanaojitambua miongoni mwao!!
Wana-CCM wa kweli wanamuunga mkono Mama kwa sababu kwao, JPM na Mama ni kitu kimoja!!
Aidha, post yako nyingine miongoni mwa zile 3 za mwisho inasema:-
Sasa hiyo post ya mahindi ni ipi?!
Btw, kwanini nishindwe kujibu hoja nyepesi kama ya mahindi?!
Anyway, jibu maswali niliyokuuliza kuhusu ubaya wa Samia kutaka kufungua milango! Au unaona anam-challenge Malaika Mtukufu Mungu ambae bila aibu mnafikia kumlinganisha hadi na Nyerere!
Huyu Mama will put JPM to shame.Rais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi akisema, "Mmekuwa mkinitukana sana kwenye mitandao! Unakwenda kubomoa yaliyojengwa kwa muda mrefu"
Akizungumza na Wafanyabiashara wa Tanzania Nchini Kenya Mei 05, 2021 Rais amesema anaamini hakuna Nchi inayoendelea ikiwa peke yake
Ameeleza, anajiandaa kufanya mkutano na Sekta Binafsi kuzungumzia kero mbalimbali zikiwemo za Kodi, Vibali vya Kazi (Work Permits), kuchelewa kupata ardhi kwenye Uwekezaji ili kuona namna ya kuziondoa
Rais amesema maeneo ya kujenga Uchumi yapo lakini mchakato umekuwa ukienda polepole, akitolea mfano eneo la "Industrial Parks" alilosema haoni sababu kwanini zinazuiwa
Msikilize hapa:
View attachment 1775027
Vipi kuhusu post yako mahindi?!ni lini milango ya biashara ilifungwa rasmi???
isijekuwa unatamani jambo ambalo halitakaa litokee,sababu halipo kama unavyodhani lipo.
tanzania ni nchi inayohitajika kuliko inavyohitaji muungano huu.Uingereza wanajiona hawako ulaya na hivyo kujiona si mmoja wao.
Amini usiamini ilipofikia waingereza wanajiona wajinga kwa ule uamuzi wao lakini kwa hatua iliyofikiwa ni lazima waondoke.
Boris anapiga danadana anasogeza mbele kwa visingizio lukuki lakini wenzake wamesema hawamwitaji tena. Nguvu ya nchi za Ulaya ni umoja wao, bila hiyo ni wepesi sana.
Tukiimarisha uhusiano wetu tutakuwa na nguvu kuliko hapo zamani.
Naombea tuje tufikie kwenye fedha moja na hata jeshi la pamoja.
We jamaa ndo mana nasisitiza we ni profesa LIPUMBA vuuu, Sawa ni jukwaa la siasa je mada inahusu covid19? Yaani kwa kuwa ni jukwaa ni la siasa mezani ipo maada ya uchaguzi mdogo wa ubunge, niachane na mada za uchaguzi nianze kuzungumza mada ya ziara za waziri mkuu tanga, kisa zote ni topic za siasa? Hivi we jamaa unatumia akili gani kufikiri lkn?acha bangi basi za kupangia watu wasijadili siasa jukwa la siasa.
niingekutumia salio la internet,ni vile sipendi kukuharibia siku.
maana watu kama nyinyi huwa mna mambo mengi kichwani.
Vipi kuhusu post yako mahindi?!
Btw, yaani wewe unajua sana kuliko Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais?!
Oh! Let me guess... "Mama Samia anatumika ili kuharibu Legacy ya JPM"!!!
Nakuhakikishia wewe huwezi fikia uwezo mkubwa wa akili zangu. Hata 25% ya akili yangu huifikii amini hivyo. Wewe ni kilaza na unahisi kila kitu kinapaswa kimilikiwe na serikali. Nenda Denmark, Sweden, Norway ukajionee wanavyoishi kule na utakuja hapa ushangae maisha yetu tunayoishi kama MANYANIlabda wa mali.
lakini umasikini mbaya kabisa ni ule wa akili,ambao unaonekana umezaliana hapo kwenu.
Kipindi cha mwenye legacy yake feki tulikuwa tunapigana vita vya kiuchumi na kila mtu kwa hiyo uwekezaji haukuwezekana zaidi ya propaganda ya viwanda hewa. Kizuri zaidi ni kwamba amekufa na hivyo vita vyake vya kufikirika and here we go.Nadhani nchi yetu kufikia maendeleo itakuwa challenge kidogo, ukisema unafungua nchi kwani nchi hii imefungwa? nchi iko wazi tu kwa uwekezaji miaka yote muda wote, suala la muhimu ni kuangalia he ni uwekezaji upi? una maslahi? kumbukeni suala la uwekezaji sio geni Tanzania, suala la uhusiano na Kenya sio geni ni la kawaida tu na huwezi ukategemea uwekezaji wa Kenya ututoe katika umasikini labda kama tunataka uchumi mdororo.
Laabda hujui kitu kimoja hapa Tanzania kupata mwekezaji wa kilimo kikubwa kutoka NJE ni ngumu sn haiwezi kutokea hata siku mmoja kutokana na sheria zetu za Ardhi sababu ARDHI sio mali ya mtu mali ya serikali hivyohivyo hata wewe unaijita MTANZANIA sio yakwako wakati wowote inaweza rudi serikalini.Mashamba makubwa yamilikiwe na wa Tz na yale yenye kuhitaji foreign input basi yawe asilimia 51% wa tz .
Na kwenye viwanda iwepo component ya local kuwemo au shirika la umma liwe mbia
So furious brother 😁😁She is hopeless and one term president!Badala ya kujishughulisha na kufuta zile sheria kandamizi za uwekezaji za mambo ya task force na kadhalika ambazo alizitunga yeye pamoja na Magufuli anaongea vitu ambavyo ni non-sense.
Hakuna mwekezaji ambae atarudi kuwekeza Tanzania kwa sheria zile!Nchi ilifungwa kwa sheria kandamizi za uwekezaji kwa hiyo inapaswa kufunguliwa kwa kufutwa sheria hizo kandamizi.
kumbe mwendazake aliipiga nchi lock-down kiaina aiseeRais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi akisema, "Mmekuwa mkinitukana sana kwenye mitandao! Unakwenda kubomoa yaliyojengwa kwa muda mrefu"
Akizungumza na Wafanyabiashara wa Tanzania Nchini Kenya Mei 05, 2021 Rais amesema anaamini hakuna Nchi inayoendelea ikiwa peke yake
Ameeleza, anajiandaa kufanya mkutano na Sekta Binafsi kuzungumzia kero mbalimbali zikiwemo za Kodi, Vibali vya Kazi (Work Permits), kuchelewa kupata ardhi kwenye Uwekezaji ili kuona namna ya kuziondoa
Rais amesema maeneo ya kujenga Uchumi yapo lakini mchakato umekuwa ukienda polepole, akitolea mfano eneo la "Industrial Parks" alilosema haoni sababu kwanini zinazuiwa
Msikilize hapa:
View attachment 1775027
Muda utaongeaHuyu Mama will put JPM to shame.
She is natural and inspiring.
Anataka "kuifungua" nchi. Hayo ndio maono yake kwa sasa. Na actually ameshaanza kufungua....tupo huru sasa kuliko miezi mitatu iliyopita. Uhuru ni muhimu sana katika kujiletea maendeleo....mtu mmojammoja na hata kwa nchi.Hadi sasa kuna kitu sijakielewa kwa huyu mama, hebu labda muda utakuwa na majibu sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Terms and conditions zilikuwepo hata wakati wa JK wa 2... sikiliza vizuri speech ya mama; terms and conditions shall apply.