mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mzee wa balimi.View attachment 1775088
Kijana kajinyoge fasta umfuate Zezeta wako mbobezi
Kama ulizoea kula peke yako time is up. EEBO!
zezeta anayekuzidi akili anakuweka kundi lisilo na jina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzee wa balimi.View attachment 1775088
Kijana kajinyoge fasta umfuate Zezeta wako mbobezi
Kama ulizoea kula peke yako time is up. EEBO!
Mi nadhani haya mambo tunachanganya madesa au tunajisumbua bure!!Mashamba makubwa yamilikiwe na wa Tz na yale yenye kuhitaji foreign input basi yawe asilimia 51% wa tz .
Na kwenye viwanda iwepo component ya local kuwemo au shirika la umma liwe mbia
Nilisema mimi utawala wa huyu mama utakuwa ni "Ruksa Part 2", akishaifungua nchi sasa itakuwa kila kitu ni "Ruksa".Rais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi
Huyu amekupeleka sehemu ambayo hutakaa uinuke tena.Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Tumekuelewa mtoto wa RaisMama wacha achape kazi, hao watoto wa marehemu wanaosumbuliwa na jinamizi LA baba yao asiwasikilize awapuuze ajue sisi wanae tuna matumaini makubwa sana na yeye. Hao lengo lao wanataka kumtoa kwenye reli ili asitufikishe nchi ya ahadi.
Kuna ka uzibe kawekewa siyo?Ninachoona ni kundi la Awali bado halijakubali kwamba kuna mabadiliko..Ndg zangu badilikeni huyu Mama atatusaidia mengi..wale mliokua na madaraka na kweli mmeumiza watu sana huo ni ukweli...Sasa yameisha bora utubu uanze upya uende mbele...Bado wapo watu hawaamini kabisa kwamba zama zimepita, acheni huyu MAMA WA WATU afanye kazi..
WATU waliolia sio wafanyabiashara tu, watumishi wa Umma wamelia wamumizwa na baadhi ya watu waliokua na madaraka wametesa watu sana, wamewadhalilisha sana bado mnazo chembe na mitandao yenu ya utesi, mama waondoe hao.
Mataga bado tu unateseka mpaka leo?Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Let it go...ameshakufa huyo, sasa ni Zama mpya za Mama Samia Suluhumzee wa balimi.
zezeta anayekuzidi akili anakuweka kundi lisilo na jina.
Ndio tatizo lililopo ni wana siasa kuamua kwenye mambo technical , yeye akiombwa kitu kama alivyo waambia chato kuwa mkoa kuna vigezo, ya Kenya au EA nk kabla ya kwenda kutoa Maneno yake ni vizuri akaka na wataalamu wakamuelimisha akapata vitu vya kuongea vya kukaribisha wawekezaji na pia kuwa sisitizia win win situation.Mkuu August ,kongole kwa mchango wako. Tanzania ni yetu sote,na Mh. Rais Samia S.H ni rais wetu sote. Tumshauri vyema ili nnchi iende vyema.
Mwendazake kaenda zake,sisi tuliobaki, tuenende na wakat uliopo.
Sasa mbona wewe Mwana CCM (mfuasi wa Jiwe) Unaiponda serikali hiyohiyo ya CCM?ujinga ni kuamini ccm imetoka madarakani[emoji1787][emoji1787]
Kurudi inaweza kurudi lakini kuwe za sababu za kutosheleza sio kwamba Raisi kaamua tu. Hilo uliweke akilini mwako .Laabda hujui kitu kimoja hapa Tanzania kupata mwekezaji wa kilimo kikubwa kutoka NJE ni ngumu sn haiwezi kutokea hata siku mmoja kutokana na sheria zetu za Ardhi sababu ARDHI sio mali ya mtu mali ya serikali hivyohivyo hata wewe unaijita MTANZANIA sio yakwako wakati wowote inaweza rudi serikalini.
uoga wako tu,peke yako huwezi! endelea kujifungia dunia itakuacha huwa haisubili.Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Naona tumerudi serikal ya awamu ya nne, ama nakosea?Rais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi akisema, "Mmekuwa mkinitukana sana kwenye mitandao! Unakwenda kubomoa yaliyojengwa kwa muda mrefu"
Akizungumza na Wafanyabiashara wa Tanzania Nchini Kenya Mei 05, 2021 Rais amesema anaamini hakuna Nchi inayoendelea ikiwa peke yake
Ameeleza, anajiandaa kufanya mkutano na Sekta Binafsi kuzungumzia kero mbalimbali zikiwemo za Kodi, Vibali vya Kazi (Work Permits), kuchelewa kupata ardhi kwenye Uwekezaji ili kuona namna ya kuziondoa
Rais amesema maeneo ya kujenga Uchumi yapo lakini mchakato umekuwa ukienda polepole, akitolea mfano eneo la "Industrial Parks" alilosema haoni sababu kwanini zinazuiwa
Msikilize hapa:
Still ningeiona kwenye notification!post ya swali la mahindi haikuwa uzi huo.
Usimlinganishe na mimi, mlinganishe na wewe kwa sababu yeye anaamini milango haikuwa wazi lakini wewe unaamini kinyume chake, ingawaje umekiri kwamba "haikufungwa rasmi"!sijasema najua kuliko bi samia,lakini yule ni mtu kama wewe.
Na kama hiyo legacy ipo kweli, sasa mnatapa tapa nini? And as far as I know, NO ONE, I repeat, NO ONE can destroy someone's true legacy! Na true legacy haipaganiwi kwa sababu hata watu wakijifanya hawaoni, bado itachomoza!!hawezi haribu legacy ya jpm,hilo hata wewe unajua hilo.
Halikuwepo hilo swali!swali langu lilikuwa hivi??
Kwanza, don't take it personal... KE hawakuzuia mahindi ya TZ peke yake bali na ya UG vile vile kwa hoja kwamba mahindi kutoka nchi hizo yana viwango vya sumu amabvyo vina athari kwa maisha ya binadamu!kwanini mahindi yalizuiwa kuuzwa kenya??naomba ujibu hapa kama hutojali.
Kwahiyo ni afadhali tulivyokuwa kwenye chupa? Hata Mungu aliona tunakopelekwaHuyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.