Hata waliozoe kupigapiga watu wakafuge mbwa na paka waendelee na hilo zoezi. Hakuna mtu wa kupigwa sasa.... wazee wa legacy fake Mkuu! Hawaamini mambo muhimu Mama aliyoyafanya ndani ya muda mfupi tangu akalie kiti. At least furaha imerejea nchini kwao ni uchungu kweli kweli wazee wa visasi!
Ameshindwa kuifungua twitter mapaka uwe na VPN ataweza kuifungua Nchi kweli???Rais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi akisema, "Mmekuwa mkinitukana sana kwenye mitandao! Unakwenda kubomoa yaliyojengwa kwa muda mrefu".
Akizungumza na Wafanyabiashara wa Tanzania Nchini Kenya Mei 05, 2021 Rais amesema anaamini hakuna Nchi inayoendelea ikiwa peke yake.
Ameeleza, anajiandaa kufanya mkutano na Sekta Binafsi kuzungumzia kero mbalimbali zikiwemo za Kodi, Vibali vya Kazi (Work Permits), kuchelewa kupata ardhi kwenye Uwekezaji ili kuona namna ya kuziondoa.
Rais amesema maeneo ya kujenga Uchumi yapo lakini mchakato umekuwa ukienda polepole, akitolea mfano eneo la "Industrial Parks" alilosema haoni sababu kwanini zinazuiwa.
Msikilize hapa:
Mataga utapata tabu sana awamu hii! Ukiona mambo ni magumu, ni bora ukachukua tu maamuzi magumu ya kunywa sumu au kujinyonga, ili umfuate mungu wako huko kuzimu.Kama hatukuwahi kuinuka, basi tutakwenda chini zaidi.
Maana anayoyafanya leo, JK aliyafanya miaka 10 na nchi ikawa ya hovyo kabisa.
Mama afanye anayoona yeye ni sahihi ili mradi tufike jk alifanya mazuri Tena mengi na upande mwingine alifanya ovyoo hata mwendazake Kuna mamabo alifanya vzur Kuna mambo alifanya hovyo haijwai tokeaKama hatukuwahi kuinuka, basi tutakwenda chini zaidi.
Maana anayoyafanya leo, JK aliyafanya miaka 10 na nchi ikawa ya hovyo kabisa.
Yaan kwenda Kenya kufungua fursa za kibiashara ndio "anatupeleka sehemeu ambayo hatutakaa tuinuke tena" mawazo mgando kabisa haya. Mtu wa hivi hata nyumbani kwake na mkewe bila shaka hawana maelewano, maana haelewi chochote. Bado akili mgando za "mwendazake" zimemuathiri.Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Tatizo ninaloliona kwa Watanzania ni umasikini wa akili na maisha, imagine mtu hatokei tu kama mimea anatoka kwenye ukoo wa mababu zake na hao mababu ndo walitakiwa kumiliki Ardhi na maeneo makubwa na watoto wangepewa wakaendeleza na kurithisha wajukuu Ili kutunza falme zao na koo zao sasa kinachotokea mababu walikuwa na maeneo madogo kwaajili ya wao tu na wengine walipanga tu vijumba bila kutengeneza koo zao na kuziwekea urithi wa Ardhi sasa watoto au wajukuu ndo wanahangaika kwenda kununua Ardhi sehemu zingine wajenge ndo maana tunapata kelele za wivu wa Ardhi kwamba itakwisha, kinachotakiwa kufanywa ni kutungwa Sheria za kusimamia vizazi na mali za familia Ili zitumike kwenye familia husika na wale ambao hawakuweka urithi wa familia zao kwa kupenda au kutopenda basi wawajibike kuishi hivyo hivyo Kama watu pori, Jukumu la kuwa na Ardhi liwe la lazima kila familia na mtu awe na watoto kulingana na Ardhi yake na kila mtoto amuwekee Ardhi yake ambayo watarithi wajukuu hiyo hiyo hapo kelele za Ardhi zitapungua na kuzaliana ovyo kutapungua.Nchi iko free kuwekeza mnaopiga kelele nan kasema wazawa hawaruhusiw kuwekeza wageni wakija
Pepo la mzeee linawatafuta vibaya watu
Mama amesema waliohodhi ardhi kubwa bila kuiendelezaa watachukua. Hii ni vizuriNi kwamba akiifungua nchi na mwekezaji akamilikishwa ardhi na kutokana na economic strength yake , itakuwa shida sana kuipata ardhi hiyo au kwa gharama mara mia ya bei aliyonunulia. Angalia matatizo ya ardhi yalio pelekea mapigano ya kikabila, ambapo Uhuru aliahidi kutoa kiasi lakini sijasikia kutekeleza ahadi hiyo
Amesema sheria tumetunga wenyewe kwa nini tushindwe kuziondoaShe is hopeless and one term president!Badala ya kujishughulisha na kufuta zile sheria kandamizi za uwekezaji za mambo ya task force na kadhalika ambazo alizitunga yeye pamoja na Magufuli anaongea vitu ambavyo ni non-sense.
Hakuna mwekezaji ambae atarudi kuwekeza Tanzania kwa sheria zile!Nchi ilifungwa kwa sheria kandamizi za uwekezaji kwa hiyo inapaswa kufunguliwa kwa kufutwa sheria hizo kandamizi.
A task force is a group of people who come together from diverse branches, positions, and points of view to facilitate the development of ideas, create new opportunities, answer questions, or solve a problem.Task force ziondolewe
Sheria ya Ardhi inasemaje? Na baada ya hapo inafanyiwa nini?? Na sababu za kuchukua hatua hizo ni nini ?Mama amesema waliohodhi ardhi kubwa bila kuiendelezaa watachukua. Hii ni vizuri
Umesikiliza hotuba yake kweli au huna bando?She is hopeless and one term president!Badala ya kujishughulisha na kufuta zile sheria kandamizi za uwekezaji za mambo ya task force na kadhalika ambazo alizitunga yeye pamoja na Magufuli anaongea vitu ambavyo ni non-sense.
Hakuna mwekezaji ambae atarudi kuwekeza Tanzania kwa sheria zile!Nchi ilifungwa kwa sheria kandamizi za uwekezaji kwa hiyo inapaswa kufunguliwa kwa kufutwa sheria hizo kandamizi.
"Mwenda bure si sawa na mkaa bure". Mwendazake alikuwa mkaa bure ndiyo maana alikuwa busy kusikiliza simu na kusoma SMS za watu wengine na kupekua taarifa za account za benki za watu. Wacha mama aende bure ni zamu yake sasa hao wasiopenda waache kudemka. Namuunga mkono Rais wetu atuletee Suluhu ya vikwazo vya biashara nchini - nchi unayotakiwa kuanza kulipa kodi, hata kabla hujafungua biashara, ili upate leseni ya kufungua biashara.Rais Samia Suluhu Hassan amesema anakwenda kufungua Nchi akisema, "Mmekuwa mkinitukana sana kwenye mitandao! Unakwenda kubomoa yaliyojengwa kwa muda mrefu".
Akizungumza na Wafanyabiashara wa Tanzania Nchini Kenya Mei 05, 2021 Rais amesema anaamini hakuna Nchi inayoendelea ikiwa peke yake.
Ameeleza, anajiandaa kufanya mkutano na Sekta Binafsi kuzungumzia kero mbalimbali zikiwemo za Kodi, Vibali vya Kazi (Work Permits), kuchelewa kupata ardhi kwenye Uwekezaji ili kuona namna ya kuziondoa.
Rais amesema maeneo ya kujenga Uchumi yapo lakini mchakato umekuwa ukienda polepole, akitolea mfano eneo la "Industrial Parks" alilosema haoni sababu kwanini zinazuiwa.
Msikilize hapa:
Nakubali lakini urari waweza kuwa unafaidisha mtu mmoja tu na ukauona uko vizuri wakati majority wa chini hawambulii kituHivi vitu vinatakiwa kwenda pamoja ndio maana kuna Maneno kama urari wa biashara kati ya A na B ni fulani. Nafikiri kwa haya maneno Machache utakuwa umeelewa.
Mbongo mwenye hela na connection ndani ya KE anatabasamu sahi, hao wengine wacha wabishane tu, haitawasaidia in the long run.Watu wamenuna hao... yaani hawataki tushirikiane na Kenya kwa sababu tu JPM hakutaka ushirikiano mwema nao!!
Yaani mama kabla ya siku 100 tayari keshanitua mzigo wa Deni la zaidi ya milioni 6 ambalo mwendazake alililpachika kwenye mkopo wa bodi... wazee wa legacy fake Mkuu! Hawaamini mambo muhimu Mama aliyoyafanya ndani ya muda mfupi tangu akalie kiti. At least furaha imerejea nchini kwao ni uchungu kweli kweli wazee wa visasi!