Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Mashamba makubwa yamilikiwe na wa Tz na yale yenye kuhitaji foreign input basi yawe asilimia 51% wa tz .
Na kwenye viwanda iwepo component ya local kuwemo au shirika la umma liwe mbia
Mkuu August ,kongole kwa mchango wako. Tanzania ni yetu sote,na Mh. Rais Samia S.H ni rais wetu sote. Tumshauri vyema ili nnchi iende vyema.
Mwendazake kaenda zake,sisi tuliobaki, tuenende na wakat uliopo.
 
Kabisa mkuu, hasa sisi wana forex mama atakuwa ametupa zawadi murua kabisa
 
Kuboost Uchumi kwa hali ya Corona hii huwezi fanikiwa
 
uchumi unaujadili hapa jukwaa la siasa!!!!na hutaki siasa zijadiliwe hapa.unatumia pombe zilio expire???

kama hujui kupigwa na ccm kukoje,huna uwezo wa kujua wanapokupa faida ccm.
Jamaa unachanganya mafile, nahisi huna mb umeingia jf kwa kutumia freebasics, kwenye clip maza kazungumza kufungua nchi(free market) hayo ni mambo ya uchumi sio siasa babu, maza hajaongelea mambo ya chadema au ccm wala covid19 Sawa? Kama uchumi umeletwa kwenye jukwaa sio kosa letu, tujadili contents zilizomo hata kama zingefunguliwa jukwaa la michezo.
 
kwani wasukuma wanaishi burundi???
au ndio hujanjwa chai mpaka saa hizi!!!
Kwani mlipokua na Nduli Magufuli mkawa mnatufanyia mateso ya kila aina , kutesa na kuua watanzania , mlijiuliza hili.?!
SUKUMA GANG mrudi tu Burundi kwenu.
 
Kikubwa tu aangalie tunu za taifa

JPM was better on that, siku jamii ikigundua anatupeleka shimoni

Epushia mbali, mama atatukanwa sana
Amani, haki, furaha, uhuru, hizi sio tunu za taifa? JPM was never better on any of them.
 
Kama hatukuwahi kuinuka, basi tutakwenda chini zaidi.

Maana anayoyafanya leo, JK aliyafanya miaka 10 na nchi ikawa ya hovyo kabisa.
Kwanini unahisi na kukariri, tufanye kazi na tuwashirikishe wawekezaji wenye mitaji mikubwa tukijifungia ndani hatuwezi kufika popote.
 
Kuboost Uchumi kwa hali ya Corona hii huwezi fanikiwa
Inawezekana mkuu maana kiasi sasa hivi masharti yameanza kulegezwa hasa kwa upatikanaji wa chanjo kuliko awali, lakini la pili kuna sheria ambazo zilikuwa kikwazo sana kwa wawekezaji plus uncertainity ya viongozi hivyo wengi hawakuwa wanajua wakiwekeza kesho itakuaje na mengineyo haya yalipelekea kwa kiasi kushusha uwekezaji na capital outflow kwa mama kuanza kuonyesha matumaini let's hope so
 
Nilipo kuwa naanza ufugaji akaja jamaa mmoja akaniambia kuku hawafai kabisaa wanakufa hovyo nikamwambia kaa mbali na mimi, uoga ni ugonjwa mbaya sana acha Mama alete wawekezaji tusonge mbele kikubwa ni usimamizi madhubuti kwa sheria za nchi.
 
Awamu imebadilika sasa wapo wanaoshindwa kukubaliana na hali halisi.
Hapana Phillipo,

Sio kwamba awamu imebadilika!

Tangu wakati JPM yupo hai nilishawahi kusema hapa sio chini ya mara 3!!

Tatizo letu kuna Wafuasi wa Watu na Wafuasi wa Chama/Itikadi!!

Wengi nilikuwa nawaambia hapa kwamba "wewe sio mwana-CCM" kwa sababu mwana-CCM/mtu anayeongozwa na itikadi, hawezi kusifia kiongozi A halafu akawa anamkashifu kiongozi B wakati wote wanatoka chama kile kile!!

Sasa hao unaodhani wanashindwa kubadilika ni kwa sababu tangu hapo hawakuwa wana-CCM bali walikuwa Wafuasi wa JPM! And I hate to say this but to be honest, wengine walikuwa wana-CHADEMA kabla ya 2015!!

Mimi binafsi, nilikuwa nawaheshimu na bado nawaheshimu watu wanaongozwa na itikadi/CCM kwa sababu nafahamu haiwezekani wote wawe upinzani, na ndo maana nimeshawahi kusema vilevile, siwezi kufurahia kuona chama chochote, let alone CCM kiwe eti ndo kimejaza wabunge kwa asilimia ya kupindukia kwa sababu hatutaona tofauti!!
 


Fungua Nchi Mama tuko pamoja, na hao Mataga wakileta Fyoko Fyoko tutawashughulikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…