Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Nchi iko free kuwekeza mnaopiga kelele nan kasema wazawa hawaruhusiw kuwekeza wageni wakija
Pepo la mzeee linawatafuta vibaya watu
 
ni lini milango ya biashara ilifungwa rasmi???

isijekuwa unatamani jambo ambalo halitakaa litokee,sababu halipo kama unavyodhani lipo.
 
Huyu Mama will put JPM to shame.
She is natural and inspiring.
 
ni lini milango ya biashara ilifungwa rasmi???

isijekuwa unatamani jambo ambalo halitakaa litokee,sababu halipo kama unavyodhani lipo.
Vipi kuhusu post yako mahindi?!

Kwamba "ni lini ilifungwa rasmi" sounds like unakiri kwamba milango ya biashara ilifungwa lakini haikuwa imefungwa rasmi!!

Btw, yaani wewe unajua sana kuliko Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais?!

Oh! Let me guess... "Mama Samia anatumika ili kuharibu Legacy ya JPM"!!!
 
tanzania ni nchi inayohitajika kuliko inavyohitaji muungano huu.

mara zote imeact kama kiunganishi inaposita hakuna nchi inayoendelea na mipango ya kuungana tena.

unlike kwa hao UK unaowazungumzia hapa.
 
Paspoti nazo zimwagwe kama Njugu ili Vijana wanaotaka kwenda kufunga mizigo yao huko Mashariki ya mbali wapate Mikopo

Tanzania inarudi kwenye mstari wa Maendeleo na Haki za Binadamu

 
acha bangi basi za kupangia watu wasijadili siasa jukwa la siasa.
niingekutumia salio la internet,ni vile sipendi kukuharibia siku.

maana watu kama nyinyi huwa mna mambo mengi kichwani.
We jamaa ndo mana nasisitiza we ni profesa LIPUMBA vuuu, Sawa ni jukwaa la siasa je mada inahusu covid19? Yaani kwa kuwa ni jukwaa ni la siasa mezani ipo maada ya uchaguzi mdogo wa ubunge, niachane na mada za uchaguzi nianze kuzungumza mada ya ziara za waziri mkuu tanga, kisa zote ni topic za siasa? Hivi we jamaa unatumia akili gani kufikiri lkn?
 
Mama Samia yuko sawa,mbona ajistress,mnachotaka ndicho anawapa.

Amesema mmekua mkutukana sana mitandaoni,amefikiria pakubwa.
Acha watu wafanye watakavyo na yeye awe na amani keshajua binadamu hawana shukrani baadhi yao.

Na siku mkipanua midomo kulia lia eti ooh ajira zetu,mara hiki mara kile atawakumbusha maneno yenu.

Wakenya karibuni Tz kwa wingi.
Enjoy Samia,Africa inataka kiongozi kama wewe stress for what!!!
 
Vipi kuhusu post yako mahindi?!

Btw, yaani wewe unajua sana kuliko Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais?!

Oh! Let me guess... "Mama Samia anatumika ili kuharibu Legacy ya JPM"!!!

post ya swali la mahindi haikuwa uzi huo.
sijasema najua kuliko bi samia,lakini yule ni mtu kama wewe.
hawezi haribu legacy ya jpm,hilo hata wewe unajua hilo.

swali langu lilikuwa hivi??
kwanini mahindi yalizuiwa kuuzwa kenya??naomba ujibu hapa kama hutojali.
 
labda wa mali.

lakini umasikini mbaya kabisa ni ule wa akili,ambao unaonekana umezaliana hapo kwenu.
Nakuhakikishia wewe huwezi fikia uwezo mkubwa wa akili zangu. Hata 25% ya akili yangu huifikii amini hivyo. Wewe ni kilaza na unahisi kila kitu kinapaswa kimilikiwe na serikali. Nenda Denmark, Sweden, Norway ukajionee wanavyoishi kule na utakuja hapa ushangae maisha yetu tunayoishi kama MANYANI
 
Kipindi cha mwenye legacy yake feki tulikuwa tunapigana vita vya kiuchumi na kila mtu kwa hiyo uwekezaji haukuwezekana zaidi ya propaganda ya viwanda hewa. Kizuri zaidi ni kwamba amekufa na hivyo vita vyake vya kufikirika and here we go.
 
Mashamba makubwa yamilikiwe na wa Tz na yale yenye kuhitaji foreign input basi yawe asilimia 51% wa tz .
Na kwenye viwanda iwepo component ya local kuwemo au shirika la umma liwe mbia
Laabda hujui kitu kimoja hapa Tanzania kupata mwekezaji wa kilimo kikubwa kutoka NJE ni ngumu sn haiwezi kutokea hata siku mmoja kutokana na sheria zetu za Ardhi sababu ARDHI sio mali ya mtu mali ya serikali hivyohivyo hata wewe unaijita MTANZANIA sio yakwako wakati wowote inaweza rudi serikalini.
 
So furious brother 😁😁
Relaaaaax tushushe pumzi kwa yule mtesi kuondoka.wakati bado tunaangalia namna ya kudili na mama. I believe magufuli's regime was worse, and samia is going to fix things in a right way. Tumpe muda.

Nakumbuka ulishea sana hii katuni miezi michache nyuma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kumbe mwendazake aliipiga nchi lock-down kiaina aisee
 
Hadi sasa kuna kitu sijakielewa kwa huyu mama, hebu labda muda utakuwa na majibu sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka "kuifungua" nchi. Hayo ndio maono yake kwa sasa. Na actually ameshaanza kufungua....tupo huru sasa kuliko miezi mitatu iliyopita. Uhuru ni muhimu sana katika kujiletea maendeleo....mtu mmojammoja na hata kwa nchi.

Usiniulize tu nani aliifunga nchi yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…