Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

mbona niki click zinakuja heading za forums
 
Wataalmu wetu nao wengine wajinga tu kila kitu wanachuklulia high level tuu ya wafanyabiashara wakubwa wanasahau hao wadogo ambao ndio wengi

Hicho kiwango cha chini wananchi walio wengi wa chini ndio wanakitaka nyie ma mibichwa yenu ya juu bakini hukohuko juu

Sometimes mnakera ndio maana na usomi wenu unakuta hadi akina Msukuma darasa la saba wanawazomea bungeni sababu you dont stand with a common man!!! MNAWAZA JUU WEEEEEEE HADI MNASAHAU KUWA CHINI HUKO KUNA MAJORITY ambao fursa hizo ndogo ndogo alizofungua Kenyatta zingewasaidia hao watu wa chini .Mnawza Macro tu mnasahau Micro
Mtu wa chini naye mwenye tenga moja naye anatakiwa apewe fursa auze tenga lake pia ana familia naye inamtegemea

Usomi wenu tatizo kubwa kwa watu wa kawaida
 

embu onyesha anayejaribu kuipambania legacy isiyopo ya magufuli[emoji1787][emoji1787][emoji1787],wacha sarakasi bana.

eh vipi cheti cha mahindi kimetolewa au ndio yale ya corona na rushwa ya mafiisa uhamiaji kenya!!!
 
tanzania ni nchi inayohitajika kuliko inavyohitaji muungano huu.

mara zote imeact kama kiunganishi inaposita hakuna nchi inayoendelea na mipango ya kuungana tena.

unlike kwa hao UK unaowazungumzia hapa.
EU: ujerumani ikijitoa EU inakufa.
 
Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Ahahahaaaa [emoji16][emoji23][emoji1787]. Wafuasi wa Jiwe jiweni . Tuliposema madaraka ya u Rais yadhibitiwe mlititukana . Acha wote tulie. Kitakuja kizazi chenye akili watarekebisha
 
Yatima wa yule mtu mwenye roho kutu/chuki/wivu/visasi/nk Na masikini wa roho ndio wanaumia kuona mama hana nongwa,anataka tuishi Kwa raha pesa ziwepo mifukoni.
 
Vunjilia mbali masalia ya Jiwe mwovu yule ibilisi.
Sasa hivi mama a deal na masalia ya Jiwe mbona simple hiyo.Pumbavu sana hawa yaani yalikuwa yanajineemesha na jasho letu huku yakituvurugia biashara zetu shenzi sana
 
Terms and conditions zilikuwepo hata wakati wa JK wa 2
... labda unashauri nini Mkuu; tuendelee kujifungia? Tuendelee kujitenga na wengine? Tuendelee kuwa kisiwa? Kama terms and conditions hazikutiliwa mkazo enzi za JK wa 2; let's trust she will act differently.
 
Basi sawa, fungulia kila k2 then tupate mafuriko ya wawekezaji hapa TZ

Acha afungue tupate ajira na hela, Magufuli alifunga nchi kwakuwa alikuwa na uelewa duni wa mambo, lakini yeye na genge lililokuwa linamsujidia lilikuwa linakula na kusaza. Alifikia mahali ananajisi chaguzi za nchi hii ili kuwapa ulaji awatakao.Mama afungue nchi ili wenye uwezo tupate kazi maana hatuhitaji hisani, bali uwezo wetu unatubeba.
 
... wazee wa legacy fake Mkuu! Hawaamini mambo muhimu Mama aliyoyafanya ndani ya muda mfupi tangu akalie kiti. At least furaha imerejea nchini kwao ni uchungu kweli kweli wazee wa visasi!

Wengi wa wasaka legacy walikuwa hawana uwezo, hivyo wakiona mazingira huru ya ushindani wa kisiasa, ajira, biashara na madaraka unarejea, wanaogopa na kuchukia sana kwani wanajua kiama chao kinawadia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…