Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Yule ibilisi aliharibu sana hii nchi, ww baki huko chattle unalinda kaburi, acha sisi tuendelee na maisha ya upendo.
niko dsm,kaburi haliwezi kwenda popote.

alikuwa ibilisi,tunataka tushuhudie watakatifu mnaipeleka wapi hii nchi.
 
Huyu mama nae mwanasiasa km Nyalandu tu, mkae mkijua huyo mama yupo chini ya mwavuli wa ccm kwaio hataweza kufanya kitu kisicho na baraka ya chama chake.

Km ccm watavadili mtazamo wa upigaji na kuamua kulijenga taifa basi mama nae atabadilika lkn vinginevyo ni yaleyale na ahadi zisizitekelezeka huku masikini wakiendelea kuzaliana wakiamini kila mtoto anakuja na ridhiki yake.
 
niko dsm,kaburi haliwezi kwenda popote.

alikuwa ibilisi,tunataka tushuhudie watakatifu mnaipeleka wapi hii nchi.
Ww mwagilia maua hapo kwenye kaburi la dhalimu, nchi tunaipeleka kwenye upendo baada ya yule muovu kuelekea motoni.
 

Kwa taarifa yako rais ana maamuzi ya nchi iweje kwa 70%. Hayo makundi mengine ikiwemo ccm ndio hupanga nchi iendeje kwa 30% tu. Ndio maana unaona nchi hii inaendeshwa kwa utashi wa rais anayekuwa madarakani muda huo. Hao ccm ni wafaidika wa karibu wa madaraka ya urais, lakini hawana uwezo wowote wa kwenda kinyume na atakacho rais, kwani uwepo wa ccm hutegemea madaraka ya urais tu.
 
Ww mwagilia maua hapo kwenye kaburi la dhalimu, nchi tunaipeleka kwenye upendo baada ya yule muovu kuelekea motoni.
chuki zimekula kabisa akili zenu.

eti yuko motoni[emoji23][emoji23]
 
Ila mimi kwa mtazamo wangu nahisi kundi la ccm lina nguvu kuliko icho kiti cha u-rais.
 
Mama Pole Sana kwa kazi, Mungu amekuleta ili ututoe kwenye haya mateso ya umasikini kwa miaka 60 sasa babu zetu walifilisiwa baada ya uhuru, Mpaka wajukuu ni masikini, Tunakuombea Hekima,Ulinzi,Afya Njema na Miaka mingi sana ya kuishi, Kweli unayajua matatizo ya hii nchi na watu wake na jinsi ya kuyaondoa, na Mkombozi ni wewe, Wasame wanaokutukana ni wachache sana na sisi Tunawaombea kwa Mungu awasahe, kinachowasumbua ni ukosefu wa kazi na njaa, usiwachukie wala kuwaazibu kwani suluhisho ni kuwapa kazi za kufanya. Mungu akubariki sana ujue Watanzania Wengi wanakuunga mkono na wako pamoja na wewe.
 
Huwezi endelea kwa kuwa kisiwa.Ni lazima ushirikiano na wengine uwepo.Huwezi endelea pasipo kuliwa.Maendeleo ni sawa na draft,kula uliwe.
 
Wanaomtukana ni hayo makapi ya mwendazake a.k.a MATAGA
 
Sijui hata kama amewahi soma uchumi popote.
Huwezi somesha watu namba utegemee makusanyo, sasa matajiri wakiwa mashetani hio kodi na michango ya nsssf utapata wapi.
 
Na hiyo ni furaha yetu kwamba, mzame kwa kina kabisa, msiinuke tena, mtuachie Tanzania yetu! #sukumagang kabisa!
furaha yenu ni dhaifu maana haitamaliza hata mwezi.

muulize kigogo,fatma na sarungi.hawaelewi mpaka sasa walikuwa wanashangilia nini wakati wa kifo.
 
furaha yenu ni dhaifu maana haitamaliza hata mwezi.

muulize kigogo,fatma na sarungi.hawaelewi mpaka sasa walikuwa wanashangilia nini wakati wa kifo.
Ni kweli tupu, hakuna jipya, ni furaha ya nyie kukosa furaha tu! Yaani, ni kweli tufungwa 2 lakini tumefurahi nyie mmepigwa 7, wiki nzima! pushgang ndo imelala milele hivyo!
 
Lakini kumtendea haki, bwana yule, alikua tu mnunua ndege, hakuwa mpanda ndege kabisa! Sijui chattel International Airport tunaiganyeje, bangosha!
Jamii ile wakizifuma pesa ununua chochote hata wasichokitumia Ili kuwaringishia wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…