Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Mama aachane na mitandao na asithubutu kuishi kwenye kivuli cha Jiwe mpuuzi.

Tumia vipawa vyako, simamia unachokiamini ila hao wa mitandaoni wakivuka mipaka watie adabu Rais ni wewe tuu hakuna wa kukupangia

Hata Jiwe tulitukana Sana
Je Rais wetu mhe. Mama Samia ataweza kweli kuyafanya anayotaka kuyafanya? Let us wait and see...
 
Huyu atatupeleka sehemu ambayo hatutakaa tuinuke tena.
Kwa nini unakua na hoja mgando? Mambo ya kutufanya tuishi kijima tumeyachoka. Acha mama achape kazi. Kila mtu na sera zake. Kama wewe ulinufaika na sera za ngunguli, zimeshapita hii ni awamu nyingine.
 
Ndio maana na kwambia tatizo ni mifumo haipo, lakini tax officer akija offisini kwako kukagua anajua umepita wapi na umekwepa wapi , sasa anachofanya yeye au wewe ni kumwambia hii 100m badala ya kwenda serikakini tugawane wewe upate na yeye apate, sasa hapi ataacha kujenga.

Na issue ya withholding tax ni hivyo hivyo mfumo haujakamilika au watu wanafanya makusudi kwa faida zao.

Sasa hapo effective leader or efficient one atapigia kelele mifumo itengenezwe ili hayo mapungufu yasiwepo .
Ni vizuri umekubali maafisa wengi wa TRA NI WEZI!
 
Wizi unaanzia na wafanya biashara kutaka kukwepa kodi na watu wa TRA kushirikiana nao kukamilisha hilo jambo , ukizungumzia wizi , utakuta ni sehemu nyingi kuanzia kwa wana siasa kulea mambo hayo
That's the wrong notion.
Ni sawa na kusema wafanyakazi wote wa TRA ni wezi.

Ila ni ukweli usiopingika kuwa wafanyakazi wa TRA bila kusema Neno, wanatengeneza Audits za kupika ili ku solicit rushwa.
 
That's the wrong notion.
Ni sawa na kusema wafanyakazi wote wa TRA ni wezi.

Ila ni ukweli usiopingika kuwa wafanyakazi wa TRA bila kusema Neno, wanatengeneza Audits za kupika ili ku solicit rushwa.
Hapana hawatengenezi za kupika
 
kabisa,kashapanda ndege km nyingi kuliko miaka yote jpm amehudumu hapo.
Meko hakusafiri si kwasababu hakupenda,tatizo ung'eng'e hajui,kwakweli tulipata raisi wa hovyo sana
 
Kufungua nchi ni jambo zuri sana eeh, kama halitafanywa kiholela. Tafadhali rejea tajriba za nyuma: Mwinyi, Mkapa, JK wote walifungua nchi, matokeo yakawa si maendeleo bali wizi wa kutisha na almost kuuzwa nchi. Gorbachev pia alifungua nchi akaleta Galsnost matokeo yakawa kuvunjika kabisa kwa Soviet, na wizi wa kutisha. Lau si kudirikiwa na viongozi Wazalendo Urusi leo isingekuwa dola kubwa tena.
Ni vigumu kufungulia nchi maskini yenye raia maskini wa kutupwa, bila ya kukaribisha ufisadi, upotevu wa mali asili, mikataba mibovu nk. Haya tumeyapitia. Wanasema kosa si kukosa bali kurudia kosa.
Kwa uchache mambo haya yanabidi kufanyika kabla ya 'kufungua' 1- Mishahara ya kuweza kuishi ya civil servants, hasa wana usalama, polisi etc.
2- Mikataba mikubwa iwekwe wazi kwa taifa na ijadiliwe bungeni bila ya kuwekwa pressure.
3- Wawekezaji wazawa ndiyo wapewe kipa umbele, wapendelewe, wasaidiwe kifedha .........wataweza.
4- Kuwe na sheria ngumu sana dhidi ya rushwa, TISS ishirikiane na TAKUKURU badala ya kukimbizana na wapinzani.
Sharti ya kwanza ni muhimu sana. Ukifuatia kufeli kwa 'ufunguzi' wa nchi kulikofanywa na predecessors, utakuta mishahara isiyokidhi maisha ndiyo sababu kuu, kiasi watuishi wa serikali wakawa hawaheshimu kazi wala majukumu waliyopewa.
 
Wewe unayeichukia CCM na kuendelea kuishi nayo ndio unasubiri kutapiwa
Hamia Kenya
Kama hakuhamia Kenya wakati wa utawala dhalimu wa marehemu, ahame sahizi kwa sababu gani?
 
Back
Top Bottom