Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Nacho jua mimi ni kwamba Bombadier Q400 pamoja na kuwa zilikuwa na proplers, mashirika mengi ya ndege walikuwa na ndege zile. Faida ya zile ndege ni kwamba katika conditions tulizo kuwa nazo wakati ule wa viwanja vya ndege, Bombadier Q400 zilikuwa zimetengenezwa kwa madhumuni hayo.

Zitto kibaraka yule atajuaje mambo ya technic. Hata mambo ya uchumi yennyewe hajui. Taarifa nyingi anazipata kwa kusoma magazeti na vitabu ambavyo vimepitwa na wakati. Kwa kifupi hajui kitu na wala hana uelewa wowote wa technic.

Inawezekana. Lakini mtu wa kumbana hapa ni Mkurugenzi wa TRC Mh. Kadogosa. Yeye atakuwa anajua fika nini kinaendelea kwenye hiyo zabuni.
 
Hapa umenikumbsha zile 'expansion joints'
Za
Eti km 160/hour yaani wakati zipo za 250 km/hour

Hapa kuna upigaji hapa yatakuwa kama Yale ya mwendokasi siku moja kazi siku ya pili garage!!
160 km/h kwa kuanzia zinatosha kwa watanzania. 250 km/h watanzania wataogopa kusafiri nazo. Wataanza kutapika kwenye treni nzima.
 
Hiyo mbona nzuri
 
Kisa zina rangi ya Yanga ndio maana ukasema ni mbaya?
Siku zote jikune pale unapojifikia mkuu
 
Mlisema haiwezekani
 
Eeh! Nadhani cku hiyo itafanywa siku ya mapumziko (national holiday) huko Kenya! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Labda tutakachoendelea kuwalingia ni kwamba za kwao ni za 'diesel' huku yetu ikiwa ni ya umeme, na ikienda kasi zaidi km 160 kwa saa kuliko ya kwao!

Bado tutakuwa na ubavu kidogo wa kuwazodoa.
 
Mama Raisi Samia zimeibuka lawama mitandaoni uu ya aina ya treni inayodaiwa kuwa ndio serikali ya Tanzania imeiagiza.

Picha ya treni hiyo inasambaa mitandaoni huku serikali yako ikilaumiwa na baadhi ya watu kunnua treni zenye muonekano wa kizamani(hazina mvuto kulinganisha na hizi za kisasa).

Binafsi sitaki kuamini serikali yako iliyoingia madarakani miezi michache iliopita, ndio inahusika na manunuzi haya kama kweli yapo, hivyo nakushauri utoke hadharani na uwaeleze watanzania ukweli.

Wale wale wanapinga Katiba Mpya na uwazi wa mikataba, ndio wamekuwa wa kwanza kulalamika.

MATGA, hasa SUKUMA GANG, ni Corona virus wenye umbo la kibinadamu .
 
Kwa design ya Station yetu ya Tanzanite na ile ya Morogoro so far, tuache masihala vilabuni. Hiyo treni haiendani kabisaa na mandhali yake.
 
nadhani ina tegemea na kiwango cha ubora wa reli ndio kina panga speed hizo za aina ya nyoka ni bullet train hizo hatuna uwezo nazo na ni nchi chache sana wanazo!
Kwa Bullet treni inawezekana hiyo reli yetu ikawa kweli haijawa well equipt. Lakini sio kwa High speed treni za 250km/h. Treni za mwendo huu ile reli yetu inaitika bila matatizo.
 
Labda tutakachoendelea kuwalingia ni kwamba za kwao ni za 'diesel' huku yetu ikiwa ni ya umeme, na ikienda kasi zaidi km 160 kwa saa kuliko ya kwao!

Bado tutakuwa na ubavu kidogo wa kuwazodoa.
Mwee! Wakileta treni zenye sura mbaya, wananchi watakosa mzuka wa kuzipanda. Ni bora walete chache lakini ziwe 'kisu'.
Treni watakazo nunua wahakikishe zimekaa kama kichwa cha panya. Yani ziwe na mdomo mrefu kuleta muonekano wa Bullet train. Wakileta hizi za hovyo hovyo, kwa jinsi wabongo wanavyojua kuongea, wenyewe watazirudisha huko Korea.
 
Zina nafuu kuliko zile na Jirani yetu wa kaskazini
Hata kama. Hiyo sio treni kabisa ya masafa marefu kwa karne hii ya 21. Karne hii ya digital era nasi tuna taka tusafiri na vitu vya uhakika. Na sio unasafiri na chombo ambacho ukifika mwisho wa safari huko hoi kwa malele na kadhalika. No hatuwezi kukubali tuburuzwe hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…