Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Hizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Acha mathenge ww mzee baba aka Magu alikuwa ananunua vitu latest kama dream liner...
hawezi nunua vitu kama hivi....
 
Wewe ndio unalazimisha kuwa hakuna uhakika sababu umeamua kuamini hivyo. Just Google utaona acha kuishi maisha ya zamani. Pia usitake kutudanganya.
Kwani hii taarifa imetoka wapi? Na nani ana kudanganya? Mimi nimeiona hii taarifa kwenye Website ya Hyundai-Rotem. Sasa unataka ni-google nini tena? Kama una taarufa nyingine si tueleze na kuto hiyo link?
 
Hizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Zabuni hyo imepita juzi, Magu alisema anataka tren nzri sana za kisasa, magu taste yke ni ya vitu vikubwa, af watu wasichojua ni efficiency ya tren za kisasa ni ndogo kulingana na haya ya kizaman
 
Serikali ilichoahidi ni safari ya Dar-Dodoma kuwa ya masaa matatu.

Aikuhahidi train itafanana vipi kama tunakosoa train basi iwe uwezo wake wa kutumia hayo masaa matatu ya safari.

Sio kila kitu kupinga tu, kuna sababu nyingi sana shape za train zinapishana.
Mkuu hapo hapana! Nakataa katakata. Hata kama design zinapisha au kutofautiana, likini sio kwenye hii. Treni gani hii kwenye karne ya 21? Masihala tuyaache huko vijijini.
 
Hiki kizazi kimejaa watu wapumbavu sana. Hiyo tender ilipita wakati wa Magufuli na mnataka kumlaumu Rais wa sasa ili mfiche madhambi ya mungu wenu aliyekufa kwa Covid.

Tafuteni lini hiyo tender ilikuwa awarded kwa hao Hyundai ndio muelewe.
Tenda hii imepita juzi, wiki hii
 
Nionyeshe jengo jingine lolote lile linalo karibia kufanana na hili jengo letu.

Kuhusu Dreamliner hiyo itahitaji mjadala mwingine. Hapa tunazungumzia mwonekano wa High Speed Train.
Samahani ubishi wa kitoto huwa sifanyi!!kwani inawezekana sio kosa lako bali ndio mwisho wa upeo wako!!mimi labda nachukulia mtazamo wa ki dunia kumbe wewe unachukulia mtazamo wa ki KATA(WARD)
 
Ni nomaree leo sijatoka aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi toka jana. Sijajisikia vizuri baada ya kupata taarufa hizi. Nilijisikia kama nimekatwa kwenye vipande viwili kwa ulemavu.

Mwonekano wa hii treni uliniiuma sana. Mpaka leo ninamaumivu.
 
Nimeishia hapo uliposema "wenzetu wajerumani" nikajua tu huu uzi ni rubish, mliosema mmeonaje labda!!??
Kizuri gharama, halafu purpose kubwa ya sgr ni kubebea mizigo, kama tunataka ibebee abiria tumesgafeli kabla hatujaanza.
 
Back
Top Bottom