Maneno Meier
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 2,467
- 1,697
- Thread starter
- #441
Ndiyo, lakini hii ni treni ya mitaani, tram. Haiwezi kuwa na speed kubwa na kupiga masafa marefu.Hii itakuwa ya 2021
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo, lakini hii ni treni ya mitaani, tram. Haiwezi kuwa na speed kubwa na kupiga masafa marefu.Hii itakuwa ya 2021
Nipo chief happy weekendNakuona! 🤣 🤣 🤣
Basi yakiboya ikija treni ya standard geji hio ya 160kph lazma niipandeNdiyo, lakini hii ni treni ya mitaani, tram. Haiwezi kuwa na speed kubwa na kupiga masafa marefu.
Acha mathenge ww mzee baba aka Magu alikuwa ananunua vitu latest kama dream liner...Hizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Shwari kabisa, mablanketi kwa wingi pwani. 😂 Hii kitu bila shaka ime extend! 🥶Nipo chief happy weekend
Maglev Train ambazo zina operate Japan na China ni kweli zinapiga mpaka 500 kn/h.Hao Japan wana miundombinu ya Magnetic Levitation trains zinaelea kwenye magnetic fields zinakimbia balaa
Ni nomaree leo sijatoka aiseeShwari kabisa, mablanketi kwa wingi pwani. 😂 Hii kitu bila shaka ime extend! 🥶
Mpaka 600kph kuna moja ili break record! Yani hio dar-moshi mwendo wa lisaa na dakika 15 labda!Maglev Train ambazo zina operate Japan na China ni kweli zinapiga mpaka 500 kn/h.
Tufunguliwe solar ya Mandera aisee, hii maneno ya bara hatujazoea mamaaa.. 😂Ni nomaree leo sijatoka aisee
HahahahaTufunguliwe solar ya Mandera aisee, hii maneno ya bara hatujazoea mamaaa.. 😂
Kwani hii taarifa imetoka wapi? Na nani ana kudanganya? Mimi nimeiona hii taarifa kwenye Website ya Hyundai-Rotem. Sasa unataka ni-google nini tena? Kama una taarufa nyingine si tueleze na kuto hiyo link?Wewe ndio unalazimisha kuwa hakuna uhakika sababu umeamua kuamini hivyo. Just Google utaona acha kuishi maisha ya zamani. Pia usitake kutudanganya.
Zabuni hyo imepita juzi, Magu alisema anataka tren nzri sana za kisasa, magu taste yke ni ya vitu vikubwa, af watu wasichojua ni efficiency ya tren za kisasa ni ndogo kulingana na haya ya kizamanHizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Mkuu hapo hapana! Nakataa katakata. Hata kama design zinapisha au kutofautiana, likini sio kwenye hii. Treni gani hii kwenye karne ya 21? Masihala tuyaache huko vijijini.Serikali ilichoahidi ni safari ya Dar-Dodoma kuwa ya masaa matatu.
Aikuhahidi train itafanana vipi kama tunakosoa train basi iwe uwezo wake wa kutumia hayo masaa matatu ya safari.
Sio kila kitu kupinga tu, kuna sababu nyingi sana shape za train zinapishana.
Tenda hii imepita juzi, wiki hiiHiki kizazi kimejaa watu wapumbavu sana. Hiyo tender ilipita wakati wa Magufuli na mnataka kumlaumu Rais wa sasa ili mfiche madhambi ya mungu wenu aliyekufa kwa Covid.
Tafuteni lini hiyo tender ilikuwa awarded kwa hao Hyundai ndio muelewe.
Samahani ubishi wa kitoto huwa sifanyi!!kwani inawezekana sio kosa lako bali ndio mwisho wa upeo wako!!mimi labda nachukulia mtazamo wa ki dunia kumbe wewe unachukulia mtazamo wa ki KATA(WARD)Nionyeshe jengo jingine lolote lile linalo karibia kufanana na hili jengo letu.
Kuhusu Dreamliner hiyo itahitaji mjadala mwingine. Hapa tunazungumzia mwonekano wa High Speed Train.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji106]Mpaka 600kph kuna moja ili break record! Yani hio dar-moshi mwendo wa lisaa na dakika 15 labda!
Wewe ni chizi.Pumbavu, hizo hela mnazo ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi toka jana. Sijajisikia vizuri baada ya kupata taarufa hizi. Nilijisikia kama nimekatwa kwenye vipande viwili kwa ulemavu.Ni nomaree leo sijatoka aisee