Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Kabisa mkuu. Lile jamaa lilikuwa Genius.
Nikuambie siri! Ulaya jamaa akizungumza kitu kwenye Media zao karibu zote za kimataifa unaipata.

Leo hata Journalist wa ZDF au ARD ya wajerumani ukimwuuliza Samia Suluhu Hassan ni nani, hauta pata jibu.

Hayati Rais Magufuli alikuwa simba wa Afrika. Usifanye mchezo. Kwa upande mwingine ameisaidia sana Tanzania kujulikana hasa kwa Wajerumani. Wajerumani wengi kabla ya Magufuli walikuwa hawaijui Tanzania. Nchi iliyo kuwa ikisifika ni Kenya tu kidogo Uganda.

Sasa haku music wowote wa habari unatoka Afrika. Watu wamepooza ile mbaya. Hata waafrika wenzetu wankutoka nchi nyingine wako kimya wakimsikitikia Hayati.

Enzi ya Hayati Magufuli ukienda kwenye mkusanyiko wa waafrika ukijiintroduce wewe mwenyewe kuwa unatoka Tanzani utasikia "Magulification of Afrika".

Aisee! Wewe acha tu. Tumempoteza mwamba.
EeeeNHeee!

Jadili hili la 'ein Lok', tu hapa basi, inatosha.

Haya mengine ni kujitoa akili kichwani bure, na kuharibu mada.
 
Sasa tulia utapokea taarifa sahihi sio kujiletea taarifa mwenyewe
Kivipi tena? Wewe una matatizo yoyote ya kiakili? Nitajileteaje mimi mwenyewe taarifa wakati kila kitu kiko kwenye Website ya Hyundai? Can you tell me how it works? Ina maana mimi nimetunga? Helloooow!
 
Nakumbuka hata mwendo kasi tulionyesha tata flani huku mtandaoni, tukakata tamaa lakini Mashine ziliposhuka tuona wenyewe. Nadhan hiyo imewekwa kama sample tu. Lakini Mashine zenyewe zitakuwa suprise
 
Dah nguvu zimeniishia! Km hayo ma design ya karne ya 19 ndo Kodi zetu zinaenda nunua! Moto wangu hauna amani kabisa! Nilikuwa na matumaini makubwa sana! Kuona vitu vya kisasa Kama kule China, Europe! Mtoa mada nimekata tamaa km wewe!
Unataka kukimbia kabla hujatembea?
 
Nakumbuka hata mwendo kasi tulionyesha tata flani huku mtandaoni, tukakata tamaa lakini Mashine ziliposhuka tuona wenyewe. Nadhan hiyo imewekwa kama sample tu. Lakini Mashine zenyewe zitakuwa suprise
Kumbuka uongozi umebadrika, sahv ni samia mda ule ni magu
 
Hizo zitakuwa ni mitumba (second hand) -- toleo la kwanza la electric trains huko South Korea miaka 20 iliyopita. Model hizo hazitumiki tena huko South Korea ambako ndiko iliko hiyo kampuni ya Hundai. Ni scraps zilizokuwa zimetupwa jalalani. Train hizi wajenzi wa rail yetu toka Utruki ndiyo walifaa kutuchagulia treni zitakazofaa kwa reli yetu na preferrably zingetoka huko huko Utruki. Afadhali hata zingetoka China kwani Uchina ndiyo mwamba wa dunia kwa usafiri wa reli.

Hazifai hata kuwa treni zetu za mizigo kwenye electric SGR yetu. Labda zipelekwe kwenye MGR yetu ya zamani. Kwa shape yake kwa spidi ya zaidi ya 100km per hour zitakuwa zina overturn mara kwa mara kwani centre of gravity yake iko juu sana! Inahitajika shape ya samaki inayoruhusu airstream kama zilivyo shape za ndege kwa spidi hizo kali za 160 kph. Takukuru wafanye uchunguzi wa manunuzi haya maana kuna harufu ya rushwa. Yaani watu hawamwogopi hata Mungu? How can you do such a thing?
 
Mkuu hapo hapana! Nakataa katakata. Hata kama design zinapisha au kutofautiana, likini sio kwenye hii. Treni gani hii kwenye karne ya 21? Masihala tuyaache huko vijijini.
Umbali wa Dar na Dodoma ni kilometre 445 roughly.

Vichwa vya train ambavyo serikali imenunua kutokana na hiyo habari yako uliyoileta vinauwezo wa kwenda kilometre 160 kwa saa (enough speed to cover the government promise from Dar to Dodoma; with planned stoppages).

Serikali imeahidi kwenye mradi wake safari ya Dar to Dodoma itakuwa ya masaa matatu; therefore based on the purchase it shows the government is committed to deliver on the promise.

Kwakuwa serikali aikuahidi kuleta vichwa vizuri kama ujapenda the design it’s a matter of person taste usimlaumu mama; she is delivering the government promise and not everyone personal aesthetic taste.

Kiongozi kwenye hili umechemka, mama yupo sawa.
 
Kwani tunahitaji trains ngapi na bei yake ni bilioni au trilioni ngapi?

Kama tunajenga SGR ya matrilio ya pesa, kwa nini tushindwe kuleta treni 10 za hadhi hiyo ya mabilioni ya pesa?
Kama nchi tumeamua kugharamikia SGR tutashindwaje Kuwa na hizo bullet Kama nchi kwani zinauzwa triillo kwani
 
Kwani tunahitaji trains ngapi na bei yake ni bilioni au trilioni ngapi?

Kama tunajenga SGR ya matrilio ya pesa, kwa nini tushindwe kuleta treni 10 za hadhi hiyo ya mabilioni ya pesa?
Umewajibu kwa waledi sana ubarikiwa mkuu ,
 
Mimi naona
Dah nguvu zimeniishia! Km hayo ma design ya karne ya 19 ndo Kodi zetu zinaenda nunua! Moto wangu hauna amani kabisa! Nilikuwa na matumaini makubwa sana! Kuona vitu vya kisasa Kama kule China, Europe! Mtoa mada nimekata tamaa km wewe!
Nzuri nzuri tu
 
Back
Top Bottom